Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Sema mkuu mama j atafanya ufike mbinguni umechoka sana[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliwa komeshaaaa mnooo
 
Wazunguuu ni nyokooooo, kuna mfaransa alinitoa nishaiii somewhere, bahati nzuri huwa nakuaga na akiba yangu,

Afu hawachuniki kizembeee, utaskia leta project tu discus, project ya nyokoooooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeeh ko ni mkeo sasa? Hongeraaa sanaaa.
 
Mkuu,
Wenzetu hawana mbambamba kwenye hizi mambo. Bahati mbaya kwetu kuna vitu viwili vinatuzunguka katika issues za namna hii, mila zetu na umasikini wetu.
Sio mila ya kiafrika generally, labda Bongo, Wadada wa Kikenya tu hapo jirani wapo tofauti mbona, wengi tu wanaclear bills pamoja na Mwanaume

U pay for meals...she pays for the drinks or fare sometimes
 
Experience nzuri na Pengine you guys we're destined to end up together


Lakini shida ni kwanini manzi aje na tagi ubavu bila kutoa taarifa?

Hapo lazima tuwafanyie umafia
Wakiwa na nyodo ruksa kuwakimbia,lakin kama wanajielewa wachukulie hata maji makubwa,then we ule Kona.

Binafsi nilifanya vile sababu nilikuwa nataka mission ikamilike either by hook or by crook.
 
Tatizo la mademu wa kibongo ni kwamba hawajitambui, mtu unampa offer yeye anahisi unamwambia atafute watu kadhaa ili uwatoe out. Mademu wa kibongo ni mzigo sana aisee.
 
Oyaa acha kutetea ujinga simu zipo Kama ww unamwaliko na unaona Haupo safe Kuna sehem usalama Ni mkubwa tu haijalishi Ni SAA ngapi hata Mlimani city tu pale fresh au km unaona hivo kwann usimjulishe mwenzio na simu tu kuliko kushtukiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…