Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Wewe ni mkuu wa vita ulieongelea uhalisia wa kinachotokea battlefield. Achana na hawa wanaume suruali wanaojikosha kwa wanawake hapa kana kwamba wao wako na uwezo na kugeuzwa charity case.

Mwanaume hutakiwi kuwa mnafiki kiasi hiki, no wonder Africans hatuendelei aisee unajipanga utoke date unaandaa 100k unakutana na slay queen na convoy lake na mekapu zao kama mazombie. Sema ni aina ya wanawake pia vitoto vya chuo vina huu utamaduni.
 
Kuna pesa tunazitumia kuonyesha ufahari lkn huwa tunazikumbuka sana tu mkuu.
Mambo ya zungungusha kama tulivyo...pesa huwa haipendi dharau...ukiitumia ndivyo sivyo itakulipa kisasi kwa ukata hutaamini.
Pesa inakulipa kisasi hadi utie adabu
 
Value for money inapotea kabisa unabaki na majuto tu[emoji28]
 
Safi sana
 
Yeah kama upo nje na mishe zako huwezi kupata watu wa haraka haraka wa kwenda na wewe maana kila mtu yupo busy na mambo yake

Ila pia wadada wa uswahilini nao wana hayo mambo maana hawana kazi za kufanya wapo available muda wote
mi mbona sina mishe na hao watu sina jamani
hata ukiniambia mtu mmoja wa kuja nae sina.
 
Kuna pesa tunazitumia kuonyesha ufahari lkn huwa tunazikumbuka sana tu mkuu.
Mambo ya zungungusha kama tulivyo...pesa huwa haipendi dharau...ukiitumia ndivyo sivyo itakulipa kisasi kwa ukata hutaamini.
Pesa inakulipa kisasi hadi utie adabu
"Pesa hulipa kisasi"

Dah nakubaliana na wewe hapa 100% kabisa
 
Hizi scenarios zinatokea 2/100. Hongera mkuu kwako imelipa ila kwa wengine ni komesha komoa
 
Kuna pesa tunazitumia kuonyesha ufahari lkn huwa tunazikumbuka sana tu mkuu.
Mambo ya zungungusha kama tulivyo...pesa huwa haipendi dharau...ukiitumia ndivyo sivyo itakulipa kisasi kwa ukata hutaamini.
Pesa inakulipa kisasi hadi utie adabu
Hii ni kweli,pesa ina wivu sana ikiichezea kuna siku itakuchezea
 
Kuna pesa tunazitumia kuonyesha ufahari lkn huwa tunazikumbuka sana tu mkuu.
Mambo ya zungungusha kama tulivyo...pesa huwa haipendi dharau...ukiitumia ndivyo sivyo itakulipa kisasi kwa ukata hutaamini.
Pesa inakulipa kisasi hadi utie adabu
Sheria za pesa ni kwamba ukiipoteza kwa kununua vitu usivyovihitaji kuna siku utauza vitu unavyovihitaji ili upate pesa. Pesa ikipotea kizembe huwa hairudi.
 
Mm situation hii ilishawahi nikuta hapo mji wa Mkwawa japo kidogo iko slight different. Kuna pub moja inaitwa lock down kuna kipindi ilikuwa baab kubwa nimeingia pale nikaendelea na kamnyweso huku nikiambaza kushoto kulia.

Ghafla nikaona mtoto mmoja mkali sana sasa kwakuwa mida ile tayari kichwa kilishawaka nikamfata chap nikampa hi nilimkuta ana windhoek 2 anaendelea kudensi densi basi akawa mkarimu nikamuagizia 2 namm nikaendelea kula weiser.

Basi tukala vituuu kuna muda akaenda washroom kurudi akaja na rafiki yake akanitambulisha sasa sababu alikuwa ashawaka akataka nimpe hisani na rafiki yake nikawa mkarimu waitress akamletea Savannah za kutosha ili kwenda sawa nasisi, yule tag ubavu anakunywa savannah kama maji aisee. Wakaanza vurugu mara tunataka shisha mara wanaagiza kuku mzima na machips kibao wanagusa wanaacha. Muda umeenda saa kumi hiyo.

Baadae yule demu akaniambia nimpe mwenzake 10k ya nauli sababu hana kitu arudi chuo. Ikabidi nimpe tu kwakweli ili namm niende nikaichakate mbususu hii iliyoniingiza hasara kwelikweli.

Tulienda hadi lodge niliyofikia nikachakata viwili chap then bidada akalala usingizi wa kuzima mm nikaweka alarm saa mbili asubuhi nikashtuka nikaoga then nikasepa chap! Ile fedha niliyopanga kumpa 50k ndio aliyotumia mwenzake imeisha hiyo.
 
Halafu Chief hawa madada hawana ubinadamu kabisa...unaweza kuwahudumia hapo na kulipa bills zote,wap wakiondoka wataenda kuwasimulia wenzao kwamba tumepata danga tumelichuna...bora jamaa alivyowakimbia..hawana Wema hao
 
Kazi nzuri
 
Walienda pomoja ila pesa ya Bolt alilipa mwamba...kwa kifupi mwamba ametuwakilisha,umepewa kadi ya mwariko wa mtu mmoja mnakuja watatu? Lazima mjifunze kuheshimu budget za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…