Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Ngombe hazeeki maini wewe,
Mrema,mengi na kapuya wamevuta pissi mbichi kabisa. Labda usiwe na hela
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye numempita miaka 15 aisee

Hapo ukizeeka mwenzio ndio kwanza damu itakuwa inamchemka minyege kama yote lazima ugongewe mpaka ukome .. mwanamke pishana nae miaka 5 au 7 tu ,
Wanawake huwa tuna maumbo mabaya mwanamke wa miaka 30 huwezi fananisha na mwanaume wa miaka 30.

Zamani walikuwa wazee wanapishana na wake zao zaid ya miaka 10 na ndoa zinadumu kama uko kwenye 30' tafuta bint wa miaka 20 aliyetulia oa utanishukuru mkuu.
 
Kwahiyo ukaongea na mama mkwe kwenye simu na hata posa hujatoa wala ukwen hujakanyaga!?

Wazaz siku hiz tunachochea watoto kujiuza balaaa.
Wazaz wa sikuhiz wakiona mtoto wao kapeleka bwana tu nyumban.. hata kama bwana hana nia ya kuoa.. watamloga bwana hadi mawazo ya kuoa yamjie na apeleke posa na aoe fasta.... Wanaume tumekua adimu sana aisee
 
Back
Top Bottom