Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

E bwana eeh!!!! Kiu ya ndoa ime despair mpaka wazazi sio waolewaji tu.They are both too much desparate
Inaogopesha sana mkuu, ilianza kama utani binti aliniambia kuwa mamake mgonjwa sana.
Nikapanga kwenda kumsalimia.
Nami sikwenda kizembe nilijaza mazaga kibao kwenye gari.

Nilipofika kumsalimia mamkwe nilishangaa anaongea nami kama vile nimemposa binti yake.

Niliulizwa wewe ndiye Glenn?

Nakusikiaga sana wakikuongelea flani na dada yake....nikashtuka.

Sijakaa sawa naambiwa karibu sana mwanangu uwe sehemu ya familia yangu😂😂.

Kubwa zaidi mkwe akasema watoto mkipendana mimi ninafurahi na wenzako wote waliooa hapa nahesabu ni watoto wangu tu🤣🤣🤣

Nilichoka.
Wakati sijaposa binti yake alikuwa ni rafiki tu tena ule wa mwanzo mwanzo hata sijamfunua.
Wazazi wana hamu sana binti zao waolewe
 
Mbona hapo hakuna baya kabisa we weka ndani chombo mengine mbele ya safari yatajulikana
Nilikutana na huyu binti wa mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15.

Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu akaanza kuniuliza maswali mengi sana nikayapangua, alivyouliza umri nikapunguza miaka kumi.

Sasa naona penzi limenoga kwa bintiye nataka kuweka ndani mzigo na najua kila kitu kitajulikana. Uongo wangu utakuwa bayana.

Mama mkwe atanichukuliaje sijui akigundua nakaribiana nae umri.
 
Inaogopesha sana mkuu, ilianza kama utani binti aliniambia kuwa mamake mgonjwa sana.
Nikapanga kwenda kumsalimia.
Nami sikwenda kizembe nilijaza mazaga kibao kwenye gari.

Nilipofika kumsalimia mamkwe nilishangaa anaongea nami kama vile nimemposa binti yake.

Niliulizwa wewe ndiye Glenn?

Nakusikiaga sana wakikuongelea flani na dada yake....nikashtuka.

Sijakaa sawa naambiwa karibu sana mwanangu uwe sehemu ya familia yangu😂😂.

Kubwa zaidi mkwe akasema watoto mkipendana mimi ninafurahi na wenzako wote waliooa hapa nahesabu ni watoto wangu tu🤣🤣🤣

Nilichoka.
Wakati sijaposa binti yake alikuwa ni rafiki tu tena ule wa mwanzo mwanzo hata sijamfunua.
Wazazi wana hamu sana binti zao waolewe
Ni kweli kabisa wamama wa siku hizi hawana noma kabisa kwa mabinti zao,zamani nikidhani ni tabia ya wazaramo kumbe hata makabila mengine wanayo hiyo tabia
 
Sema nao sio wajinga, wanaangalia kijana mwenye mwelekeo aah unapewa binti tena mapema tu.
Binti anamsaidia mwanae kuhamasisha ndoa🤣🤣🤣
Hivi uwe na mamkwe kama;
Beesmom au
Evelyn Salt si mnaonge kishkaji tu tena anakwambia nyie harakisheni niachieni baba yenu nitamfix utatoa mahari kiduchu tu?🤣🤣🤣
 
Kabisaa
 
🤣🤣🤣My first born ana 7yrs old...namsikilizia TU😜
 
Lini nimesema natumia arv😲😲😲 alafu mjue sipendi haya mambo ya kusingiziana🤣🤣🤣🤣🤣
Wee falla leo una kana? Mbona huwa unajitutumua leo kimekusibu nini?🤣
 
Kwanza unaanzaje kuongea na mama mkwe?
Yaani mama mkwe anapata wapi jeuri ya kuongea na wewe!?
Mama wakwe wa siku hizi ndio maana wanaliwa wao na watoto wao
 
Back
Top Bottom