Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Kwani na kwenye mapenzi mnadaiana vyeti vya kuzaliwa?
Hujaelewa point,mama mkwe nimemdanganya umri halisi maana hatujawahi kuonana.lengo asinione kibabu,sasa siku tukionana tu atajua mi nilimdanganya,shida iko hapo
 
Unapataje ujasiri wa kuongea na mamake na dem kwenye simu??
 
Mkienda kwa mama mkwe mwambie "we ni mdogo sema tu maisha na tozo" ndo yamekuzeesha
 
Mkuu mwaka 2019 nilikutana na mdada ambaye alikuwa ananizidi miaka 5, nikamdangànya kuwa Mimi ni mkubwa. Penzi likanoga akawa anataka nimpeleke kwa wazazi afu in fact nazidiwa umri
 
Nilikutana na huyu binti wa mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15.

Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu akaanza kuniuliza maswali mengi sana nikayapangua, alivyouliza umri nikapunguza miaka kumi.

Sasa naona penzi limenoga kwa bintiye nataka kuweka ndani mzigo na najua kila kitu kitajulikana. Uongo wangu utakuwa bayana.

Mama mkwe atanichukuliaje sijui akigundua nakaribiana nae umri.

Haina hata shida hii kitu,

Akija kuuliza tena kuhusu hilo la umri wako sahihi mwambie "....ulimtajia umri huo kwa kufuata kalenda ya Kiislamu sio Kiyunani..." hapo utakuwa umemchanganya na hatokuuliza tena.
 
Hakuna guarantee bwana mim mzee wangu kiheshima yupo mkoa mwaka juz koa mwanmke kamzidi miaka 35 na wamezaa watoto mzee ana miaka karibu 75 Kifupi vijana wa Sasa tupo na mashida mengi sana asee siku moja nilimulza mzee vip huogopi kupolwa Mali na vijana jibu alilo nipa labda wanibie wazee wezangu sababu wao wanambinu nyingi sana vijana kama nyiny hamuwez kabsa akaongeza ukitaka kuoa wake wengi na wasikupe shida njoo nikufundishe baba zako tulikua tunafanyeje maana mzee hadi alipo fika ana wake karibu sita na wote wanamogopa balaaa na kumueshimu
Mkuu umeshaanza kupigwa tutorial na mzee wako?? Dah mimi binafsi ningekua nshaanza honestly siridhiki na mke mmoja japo najitahid kuwa mwaminifu 😁
 
Nilikutana na huyu binti wa mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15.

Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu akaanza kuniuliza maswali mengi sana nikayapangua, alivyouliza umri nikapunguza miaka kumi.

Sasa naona penzi limenoga kwa bintiye nataka kuweka ndani mzigo na najua kila kitu kitajulikana. Uongo wangu utakuwa bayana.

Mama mkwe atanichukuliaje sijui akigundua nakaribiana nae umri.
Kuiondoa ccm madarakani bado sana
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye numempita miaka 15 aisee

Hapo ukizeeka mwenzio ndio kwanza damu itakuwa inamchemka minyege kama yote lazima ugongewe mpaka ukome .. mwanamke pishana nae miaka 5 au 7 tu ,
Hujui isemalo, wanawakee wakizaa umri miili yao hubadilika haraka
 
Wakwe wa siku hizi hapana, mimi nilipewa kuongea na mkwe na nikamuomba amruhusu aje mkoa kunisalimia...kesho yake binti akatinga🤣
E bwana eeh!!!! Kiu ya ndoa ime despair mpaka wazazi sio waolewaji tu.They are both too much desparate
 
Back
Top Bottom