Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

subiri contena jipya mwakani litue.likishatua uchangamke mapema utawapata wengi tu ila mienzi 6 ikiisha ndo utawajua vizuri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uliambiwa unaokota kama maembe tongoza dogo


Dogo kashindwa huko Sekondari kipindi hawajui kufua Vyupi, kuvaa mawigi na vimarashi viliwapitia kushoto. Leo anadhani Chuo watu wanaangalia Kidivishen chake cha mnato.

Miss chagga mwambie mdogo wako maji hufuata mkondo. Kama hana pesa, basi angalau apendeze bila kusahau Swaga na maneno matamu yasiyowakijaisha viumbe maua nyie.

Sasa mtu anakuja kupiga mayoe hata mechi haijaanza, Bado test hazijachanganya, Coursework hazisomi.

Msaidie dogo huyo
 
Hakuna kitu cha bure dunia ya sasa.
Ni lazima uhustler kukipata.
Hakuna mteremko, hustler hard,
Halafu mwanaume usililie cha kufanya tumia akili nyingi kupata unachotaka,
Aliekudanganya huenda alikuwa na hela au mvuto kwa wanawake wa chuo hivyo ilichangia kuwapata kwa urahisi. Na alivyokuambia wapo wanachuo wa bure ukatamani, na umekuta ndivyo sivyo.
Pole sana mkuu,
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Just be smart, simple na uwe kimvuto, then tafuta pesa.
Am sure 6 months later rejesha majibu humu.

Hakuna kitu cha bure kwenye huu ulimwengu,
Ni lazima utolee jasho
Kukipata unachohitaji.
 
We si ndo ulilalamika jana hujui kutongoza? Au umeshafuzu?
 
Kama umechaguliwa chuo cha kata pole.

Nenda "chuo" haswa utawaona.
 
Kijana kama huyu kupewa mkopo wa elimu ya juu ni hasara kwa taifa!
 
Na ujiandae kudisco pambafu kicheche wee!!
 
Mods,wekeni kitufe cha dislike.Mada za kipuuzi kama hizi hatuwezi kuzitendea haki bila hicho kitufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…