zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
subiri contena jipya mwakani litue.likishatua uchangamke mapema utawapata wengi tu ila mienzi 6 ikiisha ndo utawajua vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uliambiwa unaokota kama maembe tongoza dogo
We si ndo ulilalamika jana hujui kutongoza? Au umeshafuzu?Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko abao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Anaweza akampata na ndio asisome kabisa. Hizi akili za kushikiwa taabu kweli.Hamjamuelewa...dogo hawezi kusoma bila demu....ndivyo alivyojipanga tangu mwanzo...msaidieni apate demu ili atoboe
Kijana kama huyu kupewa mkopo wa elimu ya juu ni hasara kwa taifa!Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Huyo atakuwa Mr.Fukiwa Mr A katika masomo watajisogeza wenyewe, na wakati wa mitihani wengine watalala chumbani kwako kabisa.
Hasara kwa taifa kwa sababu ipi,kueleza akiyokuwa akiambiwa huko nyuma kipindi hajafika chuo?.Kijana kama huyu kupewa mkopo wa elimu ya juu ni hasara kwa taifa!