Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

HR 666 oyooooooooooooooooooooo oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi

Nimeruuuuuuuuuuuudi kutoka kifungoni
 
Muhas hakuna madem eeeh njoo kcmc uone madakari wa mioyo
 
vyuo vyeyewe vimekuwa ka sekondary mademu washobokee nn?

Old times chuo kilikuwa UD tu, hata anayeenda SUA anaonekana kilaza! Ukisema tu unatokea UD madem full kushoboka
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
kuna Mate wangu aliwahi liwa kichwa kwa mawazo.kama yako. amefika chuo ana bonge la mwondoko anajiita ''Makamongo'' bado tupo orientation yeye anaulizia jinsi ya kupata mademu.... mmamaeee semister ya kwanza tu akakamua GPA ya 0.1... chezea CoET wewe.... jamaa alisepa mazima
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Umepata mkopo umeanza mengine. Ulikotoka hawapo?
 
Mademu si uende club,au uwanja wa fisi,we umefuata masomo au mademu
 
Back
Top Bottom