Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
...Nimeipenda hii 👊👊👊Hahaha unaweza zaliwa mshambuliaji ila maisha yakakuchezesha kama kipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Nimeipenda hii 👊👊👊Hahaha unaweza zaliwa mshambuliaji ila maisha yakakuchezesha kama kipa
Mkuu kuna sehemu umesema wewe ni Muhenga wa miaka 72,
kwa hapa JF ndiye unongoza kwani ulizaliwa 1948 wakati wa Vita vikuu vya pili
Masomo yaliyotolewa enzi hizo ni useremala na Uashi, labda Ualimu na askari (KAR)
JF haidanganywi km umesoma PGM ni mtoto wa 1979 - 1990
. Hizi nifikra zako lakini tunamini Mungu ndio hupanga maisha, Wengi wamesoma shule kubwa lakini siyo matajiri kama waliyo soma shule ndogo au kuna waliyo soma sciences lakini hawawafikii waliyo soma arts kwa mshahara.Matokeo yako ndio yaliyoku judge kufika hapo ulipo
Binafsi siamini kwenye hii biashara inayoitwa ELIMU! naamini sana kwenye kuheshimu ulichozaliwa nacho kichwani yaani talanta! Tatizo Nikwamba ulishatengenezwa mfumo wakuzuia wavumbuzi au genius people wengine kuja na ideas zitakazopindua hii biashara ELIMU!Uliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.
Sio kutokuwa serious mkuu, masomo ya science ni magumu wengi wanakuwa serious lakini wanafeli hasa kwa miaka ya nyuma hasa shule za serikali , hiyo pgm imewaumiza wengi wa mkwawa, Mazengo , sengerema , tambaza , afadhali tambaza tution za dsm zilisaidia watu kufauluAliambiwa asome PGM ila sasa anaosha Vyombo vya mhindi. Hivyo hakufaulu na sababu kubwa ya kutofaulu Masomo hasa ya sayansi, acha kujitetea ni kutokuwa serious. Kwa hili hakuna siasa wala mambo ya kuzunguka. Hata angepata D ya physics na D ya mahesabu anachukuliwa. Mara nyingi kwenu K akianza kulika kabla ya kumaliza shule ndiyo holla
Mwaka gani?S
Sio kutokuwa serious mkuu, masomo ya science ni magumu wengi wanakuwa serious lakini wanafeli hasa kwa miaka ya nyuma hasa shule za serikali , hiyo pgm imewaumiza wengi wa mkwawa, Mazengo , sengerema , tambaza , afadhali tambaza tution za dsm zilisaidia watu kufaulu
Ya 2001 kurudi nyuma , watu wengine wamefaulu kwa kusoma Sana tution ukitegemea shule umeliwaMwaka gani?
Usidanganye kuanzia mwanzo hadi miaka ya 90 tuitions hazikuwepo, watu tulikuwa serious darasani na kujisomea wenyewe na tulisoma PCM na PCB tukafaulu. Shule haihitaji akili nyingi bali kujituma na kujua kuwa unajisomea kwa faida yako si kumsomea mama yako au baba yako. Imani yangu na hata nilipokuwa shule ni mchana mwalimu anafundisha darasani na usiku ni kujisomea. Ati mwanafunzi anasoma hadi saa 3 usiku na saa nne usiku anakoroma kitandani hadi asubuhi unakuta amejikojolea usingizini! Hapo soma HGL au HKF au archeologyMiaka hiyo
Ya 2001 kurudi nyuma , watu wengine wamefaulu kwa kusoma Sana tution ukitegemea shule umeliwa
Huyo matokeo sio tatizo tatizo kwao ni masikini, matajiri kibao watoto wao wamefeli na bado wamesomea urubaniMatokeo yako ndio yaliyoku judge kufika hapo ulipo
Mkuu ungejikita kwenye Sayansi Kimu,Sasa ungekuwa unatumia elimu yakoWakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
1978 hadi 2002 hukuwa umezaliwa ukazikuta Mazengo Mkwawa Tambaza Azania na nyinginezo za comb hizo?Mwaka gani?
Ni kweli PGM wengi ni wahandisi na marubani
Hata mimi nimesoma PGM
Sekondari wakati huo wengine tushaingia university1978 hadi 2002 hukuwa umezaliwa ukazikuta Mazengo Mkwawa Tambaza Azania na nyinginezo za comb hizo?
Ok sikuwa nimekuelewa, nilidhani unauliza Mazengo wakitoa PGM ilikuwa mwaka ganiSekondari wakati huo wengine tushaingia university