Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Sasa plan A imegoma...unakaa tu hapo miaka inaenda unalalamika? Why try make it happen to plan bWe na bado haujamuelewa mleta mada, yeye hakupanga kuwa Sheff alitaka kuja awe rubani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa plan A imegoma...unakaa tu hapo miaka inaenda unalalamika? Why try make it happen to plan bWe na bado haujamuelewa mleta mada, yeye hakupanga kuwa Sheff alitaka kuja awe rubani.
Sasa plan A imegoma...unakaa tu hapo miaka inaenda unalalamika? Why try make it happen to plan bWe na bado haujamuelewa mleta mada, yeye hakupanga kuwa Sheff alitaka kuja awe rubani.
Yeye hajanasa katika hatua hiyo. Amenasa katika ile hatua ya kutaka kukubaliana na uhalisia kuwa ndoto yake ya kuwa rubani ndio inakufa hivyo, wewe upo katika kumshauri aanze kubadili ndoto na wakati hajaachia ya kwanza..... This is too psychological kuelewa.Sasa plan A imegoma...unakaa tu hapo miaka inaenda unalalamika? Why try make it happen to plan b
Ni kudanganyana tu. Binafsi mimi ni mpenzi sana wa aviation nilipokuwa O level nilifikiri some day nitakuwa rubani. Nina rafiki yangu tumesoma naye hiyo O level, naye aliishia hapo na sasa ni rubani kamili. Amerusha ATCL, FASTJET n.kMatokeo yako ndio yaliyoku judge kufika hapo ulipo
PGM PGM PGM hahaha aseeWakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
Kumbe Tupo wengi. Mwambie akaribie fani ya mapishi (kulamba mchuzi) hainaga divisionKuna jamaa alichaguliwa kusoma PGM lakini PCM ilikubali nilimshauri sana asome PCM lakini kwa hulka zake akakimbilia PGM haya, Mungu saidia akapata nafasi kwenda mujibu JKT, kabla matokeo ya kidato cha sita hayajatoka waliokuwa mafinga walipewa kipaumbele cha kujiunga na jeshi na yeye akiwemo lakini alikataa mwisho wa siku jeshi kakosa na aliambulia DIV 0 na PGM yake
Ndio. Unaumia?Kama ulipata division zero ulitaka uwe rubani pia?
Siku hizi Kuna "Auto-pilot" hayo yote yanafanywa na Machine acha kushobokaPoint ni kuwa, ili uweze kuwa rubani unatakiwa uwe na uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka, kisoma ramani na kufanya hesabu kwa haraka. Yote ni kwa kujiandaa zaidi na emergency situations kwa sababu ndege kwa kawaida zinasafiri angani tena kwa kasi. Idea ya kuwa waliosoma hayo ma PGM ndio watu bora kwa mahesabu na Geography. Hesabu za ndege ni za kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya hamna intergation wala calculus!
Itakuwa ulikuwa unashinda makanyagio kugida ulanzi,wenzako wote marubani.Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
daa hili jibu mkuu imebidi nicheke aisee.Ndio. Unaumia?
Pole sana. Nadhani umaskini ndio ulizima ndoto zako. Kusoma na kuhitimu kozi ya urubani ada si chini ya shilingi milioni 150. Sipati picha wakati unasoma 'A' level jinsi ulivyokuwa unajimwambafai (rubani mtarajiwa) mbele ya wadada wa Maghembe East kumbe ni mpishi mtarajiwa. Life is not fair wallah!Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
Point ni kuwa, ili uweze kuwa rubani unatakiwa uwe na uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka, kisoma ramani na kufanya hesabu kwa haraka. Yote ni kwa kujiandaa zaidi na emergency situations kwa sababu ndege kwa kawaida zinasafiri angani tena kwa kasi. Idea ya kuwa waliosoma hayo ma PGM ndio watu bora kwa mahesabu na Geography. Hesabu za ndege ni za kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya hamna intergation wala calculus!
1994/96Pole sana. Nadhani umaskini ndio ulizima ndoto zako. Kusoma na kuhitimu kozi ya urubani ada si chini ya shilingi milioni 150. Sipati picha wakati unasoma 'A' level jinsi ulivyokuwa unajimwambafai (rubani mtarajiwa) mbele ya wadada wa Maghembe East kumbe ni mpishi mtarajiwa. Life is not fair wallah!
Umenikumbusha life ya Mkwawa: Mama Uswege, Makongoro West/East, Lumumba West/East, Shabani Robert West/East.
Tuliahidiwa kupewa scholarship. Maana familia zetu za kibongobongo ungepata wap hela ya kusoma urubani nje ya nchi?Point ya muhimu kabisa ni kuwa na hela ya kwenda kusomea huo urubani. Mengine ni mbwembwe. Mchawi pesa tu
Ungejua wala usingeliandika, nakusikitikia tu.Siku hizi Kuna "Auto-pilot" hayo yote yanafanywa na Machine acha kushoboka