Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Form six aliyefeli ni form four aliyefaulu. Sasa kama Six ulipataka mziro wako au mfoo uliopevuka ulitaka uendeshe ndege ya nani...

Afadhali hizo sufuria unazoendesha hapo kwa muhindi zikigongana kelele zake zinakuumiza mwenyewe.

Kalia matako sio akili.
 
Hakika We ni mchokozi sana


Ewe mgonjwa [emoji1787][emoji1787]
My dear M
Maisha yanaendaje hapo ATCL?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenichekesha mkuu japo mm ni muhanga wa exposure ya kuapply course kwa usahihi na mimi nilisoma apo apo PCM!sijafika niendako ila sipo nilipokua miaka hiyo
 
Poleeeeeh sanaaah, maisha lazima yaendelee.
Mi naona PGM waifute tu sa kama watu wanaishia kuwa ma engineer Kama walio soma PCM sioni ulazima wa kuwepo hyo combination


Maana hata serikali haina mkopo wake wengi wanaisoma hyo kozi wanajiweza familia nyumbani wanajiweza kiuchumi na wengi wanaanzia kusoma diploma yake

Naskia ipo alternative yakufikia uruban kuanzia diploma ila sina uhakika kama ni kweli
 
PGM haiwezi futwa kamwee, km ilivyo CBG,
unajua PGM ni somo gumu sana tena mno, na wengi wanaosoma hiyo comb wana ndoto za kuwa [emoji1944], ila mfumo wa uwezeshwaji ktk suala haliko ludufu, ndo maana wengi wanaishia kuwa [emoji1896].

Kuhusu urubani kuanzia Dp na mie nasikia tyuuh, ila sina uhakika juu ya hilo.
Ila usikate tamaa pambana na maisha uliyopo nayo sasa.
 
Hongera kwa kupata ajira wenzako hata hela ya kununua sabuni hawana na wamemaliza degree pale jalalani.
 
Toka ndani acha kujifungia at least kasalimie hata watu


Nyie endeleeni kujikusanya kwenye ule uzi wenu mkijifariji mpo sawa . mnahitaji tiba nyie wagonjwa Anne [emoji38]
Utuache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaka Captain una masaa mangapi angani Sasa[emoji38]?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anga la paa ya jiko la muhindi au lipi? Yaan umejua kunchekesha wee cc nipo hoi hapa lol.
Kapteni wetu mlevi mmoja[emoji38][emoji38][emoji38]
Anakata tu masaa huko angani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahhahah atakua alidifferentiate constant huyu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…