Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Siku nafanikiwa kurusha ndege nitaandika kitabu " FROM PERIPERI CHEF TO CLOUD 9"
 
Samaki ukimtoa nje ya maji anakosa hewa?! Hewa gani hiyo ayovuta akiwa majini na anaikosa akiwa nje ya maji? I thought it is dying due to drought condition!
 
Samaki ukimtoa nje ya maji anakosa hewa?! Hewa gani hiyo ayovuta akiwa majini na anaikosa akiwa nje ya maji? I thought it is dying due to drought condition!

Issue sio absence ya hewa mahali alipo. Hata majini hewa ipo, lakini binadamu hawezi kuishi ndani ya maji. Shida ni uwezo wa kuingiza hiyo hewa kwenye mfumo wake wa upumuaji.

Respiratory system ya samaki haikuwa designed kwa maisha ya nchi kavu. Unsubmerged, the fish will ultimately suffocate, even if some moisture is maintained!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]kikubwa uhai mkuu
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
 
Then we have to swap the two respiratory systems between them (tumbili and samaki) before we interchange their living environments! Is it possible doctor?
 
Wewe iko paji ya pika chakula zuri bana.

Mkuu usijilaumu sana kuna wengine hata hiyo chance hatupati,so ifanye hiyo kazi kwa malengo utatoboa
 
Then we have to swap the two respiratory systems between them (tumbili and samaki) before we interchange their living environments! Is it possible doctor?

If you swapped them, one would become a member of fish species and the other tumbili species. Fish is fish by design (for a reason) and tumbili is tumbili by design (for a reason) too; it isn’t accidental! That’s why some lawyers (or people meant to be lawyers) cannot possibly become engineers, and vice versa, no matter how hard they try to.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Kwa wahindi uliingia kwa qualification gani? Hotelier au casual? Tuanzie hapo kwanza...
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Mmmmmh acha niombe mungu niwe mchungaji tum nichunge kondoo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…