Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?