Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Wanadai nchimbi huenda akawa Rais kabla 2030Majaliwa ukiacha lile super black lake hana lolote. Nchimbi mtamjua ni mtu wa aina gani siku atakapokuwa rais wa nchi hii.

Mbona mambo ya ajabu ajabu sana.Nnavyoona historia itajirudia mtu atapelekwa futi sita chini then ivo nchi ya kimafia sana hii
Kwa hila alizonazo inawezekana.Wanadai nchimbi huenda akawa Rais kabla 2030
Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Tamaa tuMajaliwa ukiacha lile super black lake hana lolote. Nchimbi mtamjua ni mtu wa aina gani siku atakapokuwa rais wa nchi hii.
Mkuu duh! Yaani Silinde umlinganishe na Nchimbi!?Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Imeandikwa wapi kwenye katiba kuhusu hizo takataka.zako za uislam na ukristo? Mataifa yaliyoendelea wanakaa watu wa imani moja na wanaleta maendeleoWewe kichwa maji!
Rais awe Muislamu na Makamu wake awe Muislamu?
....Yusufu Makamba na EmmanuelNchimbu nanl Mzee ?...Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Mkuu, kumbuka hii ni katiba ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2000, hivyo kama kuna kipengele kinakinzana na uhalisia amendment inaweza kufanyika tu na kunyofoa kakipengele kanakolegalega na kubanabana😁.hiyo E mbona kama inakinzana na kinga walizonazo?.
Si waziri mkuu wala huyo mwingine ulie mtaja, ikifutwa sheria hamna hata mmoja anae weza kuja kua raisiNilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Mkuu,Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Huyo yusuf alikuwa na impact ganiNilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Wanamchukulia poa NchimbiMajaliwa ukiacha lile super black lake hana lolote. Nchimbi mtamjua ni mtu wa aina gani siku atakapokuwa rais wa nchi hii.
Yeah Time is the best answer!