"kwa Sasa Emanuel nchimbi anaweza kuwa rais wakati wowote likitokea lolote!".Nilidhani rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza anamteua rais wa nchi endapo lolote likatokea ,inamaana kwa Sasa Emanuel nchimbi anaweza kuwa rais wakati wowote likitokea lolote !! Emanuel nchimbi anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wetu ? Emanuel nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani ! Kwanini asingekuwa hata kassim majaliwa ? Yusuph makamba na ama David silinde? Kwa Nini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote???
Walete yeyote lakini asiwe samiaCcm hata lusinde wanaweza kutuletea.
Hii nchi hii daaah
Wewe kichwa maji!Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?
Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani? Kwanini asingekuwa hata Kassim Majaliwa, Yusuph Makamba au David Silinde?
Kwanini mnataka kutuletea wazee waliokaa madarakani miaka na miaka na hawana impact yoyote?
Samia angekuwa mgombea mwenza halafu urais agombee Kasimu Majaliwa. Ikifika Samia anaenda kumpumzika rais.Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote?