Nilidhani Kassim Majaliwa ndiye angekuwa Mgombea Mwenza wa Rais Samia

Kati ya Nchimbi na Majaliwa mzee ni Majaliwa. Pia hutaki wazee ila unamtaka Yusufu Makamba au unamaanisha January? Na wewe umetumia vigezo gani kumdhania David Silinde?
 
Mkuu duh! Yaani Silinde umlinganishe na Nchimbi!?
 
Wewe kichwa maji!

Rais awe Muislamu na Makamu wake awe Muislamu?
Imeandikwa wapi kwenye katiba kuhusu hizo takataka.zako za uislam na ukristo? Mataifa yaliyoendelea wanakaa watu wa imani moja na wanaleta maendeleo
 
....Yusufu Makamba na EmmanuelNchimbu nanl Mzee ?...
 
hiyo E mbona kama inakinzana na kinga walizonazo?.
Mkuu, kumbuka hii ni katiba ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2000, hivyo kama kuna kipengele kinakinzana na uhalisia amendment inaweza kufanyika tu na kunyofoa kakipengele kanakolegalega na kubanabana😁.
 
Si waziri mkuu wala huyo mwingine ulie mtaja, ikifutwa sheria hamna hata mmoja anae weza kuja kua raisi
 
Mkuu,

Majaliwa mpaka anawekewa Naibu Waziri Mkuu hata kama kusoma hujui, umeshindwa hata kuona picha ya video kabisa?

Hutaki wazee waliokaa madarakani miaka na miaka halafu unamtaka Yusufu Makamba? David Silinde? Are you serious?
 
Y
Huyo yusuf alikuwa na impact gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…