Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

Nenda zoo. Sijawahi kwenda Ngorongoro hivyo sijui kwa nini wanyama wa tabu kuonekana. Mimi nimewahi kwenda Serengeti na Ruaha Nationa Parks, niliona wanyama wote wakubwa tena kwa wingi, kasoro faru tu. Next time jaribu kwenda Ruaha, hutojutia.
 
Ni kweli mkuu, same principal applies....
" Hata ukimvua nguo, sio rahisi kupata inshu! Kama hataki!"
 
Nenda burigi chato wamejaa tele hadi mabarabarani wamejipanga wanasubiri watalii
 
Mwenyewe niliambulia patupu Serengeti National park yaani kutoka getini hadi Seronera camp nikaambulia ngiri,nyati,zebra,swala, ostrich,twiga.

Hakuna big five yoyote niliona.
 
Kwahiyo umepigwa au?
 
Nenda zoo. Sijawahi kwenda Ngorongoro hivyo sijui kwa nini wanyama wa tabu kuonekana. Mimi nimewahi kwenda Serengeti na Ruaha Nationa Parks, niliona wanyama wote wakubwa tena kwa wingi, kasoro faru tu. Next time jaribu kwenda Ruaha, hutojutia.
Africa kuwa na zoo ni upungufu wa akili tunahitaji sanctuary tu kwa ajili ya wanyama ambao wako hatarini kupotea lakini sio zoo ama jela za wanyama.
 
Yeah!...hii hoja ina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…