adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Tour guide alituingiza chaka akaenda kusimama pahala kumbe wajamaa upande wa pili kuna familia kuubwa hatukuona.Walikuja wangu wangu si kitoto.Tembo hawapendi makelele na haoni mbali ila ana uwezo mkubwa wa kusikia hata kama mnaongea kwa sauti ndogo, dawa ni kutulia na kukaa kimya mkiwa karibu nae,hapo atakuja kama anawatisha na akiona mumetulia anarudi alikotoka na kuendelea na shughuli zake.
Tembo mmoja alikuwa mkubwa sana si kawaida mrefu haswa kigari kileee