Nilidondoshaga wallet bar. Sijui barmaid au mwanamke gani akaiokota, alichofanya Mungu anajua

Shida umrzidababisha mwenyewe lawama unampa mwingine.
Alieiokota ana kosa gani Hadi umkandie hivo,si ulevi wako?

Kuitupia kwenye dustbin labda aliona ndo sahihi maana vilivuobaki hakuona vina maana kwakezaidi ya pesa ndo aliona za maana.
Angeitupa mtaroni je?
Halafu tambia Kila mtu hufanya mambo kutokana na upeo wa kielimu na akili unapokomea,huyo aliona kwenye dustbin ndo sahihi na vuhela ndo muhimu.maybe hakujua aipeleke wapi hata polisi aliogopa,hata kuikabidhi kaunta baadae ungemgeuka kuwa ni mwizi kakuibia nk.

Lakini huyo dada wabank upeo na ufahamu wa mambo ulimtuma aende huko kupata info zako akufikishiie
Usimlaani baamedi
 
Member Kifulu kasema kaokota wallet, ina risiti za miamala, ni yako, tafuta uzi wake humu uwasiliane naye kama hiyo wallet ni yako
 
Kuna kijana wetu wa kazi ni muaminifu sana kupita maelezo
Nina tabia ya kutembea na cash tangu utotoni mpaka leo
Kuna wakati nasahau hela kwenye mifuko
Anarudisha zote na mimi huwa Nampa nusu
Sijui ka ata ona ila yule dada wa mama, huwa ana lisha wafanyakazi vyakula vilivyo lala.

Yaani chakula Cha leo asubui au mchana, una kuja kupewa kesho mchana au jioni.

kula nyama ana wauliza mna kulaga?, shit. Nisha sema mi asi nizoee.
 
Hapa ndo muelewe kuwa watu wanaopata Division zero ni halali wala hawaonewi kabisaaaa

wewe ulipata zero tangu drs la ooooo
 

Dustbin hizihizi wanazowekaga yale mambo yao?! Aisee...
 
Tatizo bange mnachanganya na Mav!
 
Kesi za wanaume kudondosha wallet zimekuwa nyingi mno.... Pengine mavazi yanachangia, ama tukiwa bar zinashinda juu ya meza.
 
Tuliosoma Cuba tumeelewa.

Uache ulevi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…