mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake.
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao