Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda, maana ukweli huumaWatakua walikua wanasema
Ka mkwe kenyewe kafuuupiii[emoji23][emoji23]
Pole sanaWalitutabiria mabaya kenge wale
Kama hajapata wa kabila lake jeKwenye kabila lako hakuna wanawake??
Vijana wa siku ni wa hovyo hivi wazee wetu walivo oa kabila lao mnawaona wajinga sio?
Acha utukanwe na mimi nawaunga mkono tukanwa kabsaaa pumbavu mkubwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asubiri wakue hao wadogoKama hajapata wa kabila lake je
Duh pole sana mkuu, mtu ukiwa kabila lingine wanapata chansi ya kikuteta bila kujali maana wanahisi hujui.Futi
Futi 5 inchi 10,kwetu ni mrefu Ila kwao nilionekana kijeba
Huenda walikuwa wanasema hivyo ili kukutia hasira ya kuzidi kutafuta hela.Mimi wakufananishwa na muhutu?walisema kabila letu wavivu binti yao atakufa njaa mara tutazaa watoto wafupi,washenzi Sana wale wakwe
Ni kweli Mkuu, kuna vitu vinakuwa minors hivyo sio muhimu kuvizingatia sana.Kabla ya kuoa ni lazima uangalie vitu kama hivyo ambavyo mdukuzi alikutana navyo. Hiyo ndiyo maana ya kuchunguzana, lazima ujue unapokewaje na wana tabia gani. Kuchunguzana tabia huwa jaimaanishi kujua ex wake alikua nani.
Huwezi ukaona mambo kama hayo halafu ujitie ununda na ukichwa maji kwa kujidanganya eti mnapendana
ChaiKabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake.
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao
Haya tufundishe mwenzetu jinsi yakupenda maana nachojua mimi mwanaume hajui kupenda... Mwanaume anasema leo anampenda binti flani kesho akijua single mom au malaya hataki hata kuona sura yake.. Mtu huyu amejifunza wapi kupenda??I wonderMkuu mdukuzi huenda hukumpenda kwa dhati huyo mrembo, laiti ungekuwa umempenda usingejali maneno yao.
Wenzio kuna Wanawake tumekuwa nao kwenye mahusiano ingawa ndugu zetu/zao hawakutaka kabisa lakini tuna hesabu miaka tupo pamoja.
Muhimu angalieni kama mnapendana kwa dhati.
Inaonekana Mkuu tangu umeanza kudate umeshakuwa na Wanawake zaidi ya 20.Haya tufundishe mwenzetu jinsi yakupenda maana nachojua mimi mwanaume hajui kupenda... Mwanaume anasema leo anampenda binti flani kesho akijua single mom au malaya hataki hata kuona sura yake.. Mtu huyu amejifunza wapi kupenda??I wonder
Wewe unawezaje mwenzetu????
Hata ningekuwa mimi naacha binti yao siku hiyo hiyo silazimishi undugu Wala sioi kwenye koo za ambao sio wastaarabu..
Nani wakuendeleza kizazi Cha wajinga ...
Kama hao ndo ndugu zake wameshindwa kisubiri ht mgeni aondoke basi siwataki wao na yeye mwenyewe
huna akili hao ndugu unawaoa wao?Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake.
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao
Shemegi we ni mrangi?Ni kweli kabila letu Lina Mambo ya ovyo mengi Ila sio wote
Huenda kweli unafanana na Ndaishimeye [emoji3][emoji3][emoji3], halafu mfupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sanaMimi wakufananishwa na muhutu?walisema kabila letu wavivu binti yao atakufa njaa mara tutazaa watoto wafupi,washenzi Sana wale wakwe
Wamama tenaWatakua walikua wanasema
Ka mkwe kenyewe kafuuupiii😂😂