Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Sasa mama mkwe awe anakuteta unategemea nini si ndiyo mkigombana anamwambia mwanaye tulikwambia huyo akufai wakati wanatakiwa kumtuliza binti yao.huna akili hao ndugu unawaoa wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mama mkwe awe anakuteta unategemea nini si ndiyo mkigombana anamwambia mwanaye tulikwambia huyo akufai wakati wanatakiwa kumtuliza binti yao.huna akili hao ndugu unawaoa wao?
[emoji15]Kwenye kabila lako hakuna wanawake??
Vijana wa siku ni wa hovyo hivi wazee wetu walivo oa kabila lao mnawaona wajinga sio?
Acha utukanwe na mimi nawaunga mkono tukanwa kabsaaa pumbavu mkubwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😀😀Wamama tena
Ka mkwe kenyewe ndo haka kafuuupiii 😆
Ili kama vifupi fupi wazae mbilikimo[emoji15]
Kwahyo unashauri vijana waoane kabila moja?
Kuna makabila mengine hupenda sana kuteta watu, hawajui kama kibantu tuna vitu tunachangia, mie nikikaa na watu wanaoongea mara kwa mara nanasa mapema sanaKuna mtu nae ishatokea
Aliitwa kikao Cha usuluhiahi wakaanza kuongea kilugha jamaa Yuko hapo hapo.
Akona wapumbavu akawasha ndinga akasepa
Mbona wakimtafuta wenyewe wakamuomba msamaha tena walimfuata kwake.
Kuna makabila Yana mambo ya kishamba sana
Mimi wakufananishwa na muhutu?walisema kabila letu wavivu binti yao atakufa njaa mara tutazaa watoto wafupi,washenzi Sana wale wakwe
Ila wakwe Bwana Wana Mambo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asa Kama kweli wasiseme
Ila huo ni utani tu walikuwa wanamtania mtoto wao
Nakumbuka dada kipindi anaolewa walikuja kutoa mahari tumuona Shemeji kwa mara ya kwanza mama akawa kila akitoka nnje akinikutaa ni kusema tumeletewa mkwe gani huyu kimbaumbau mweusii kama rami [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunashukuru wameoana na wana watoto wazuri na shemejii ana roho nzuri ndio tukagundua kumbe sura sio roho [emoji1787]
Ni Maamuzi ya kiume hayo. Japo magumuKabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake.
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao
SafiMkuu mdukuzi huenda hukumpenda kwa dhati huyo mrembo, laiti ungekuwa umempenda usingejali maneno yao.
Wenzio kuna Wanawake tumekuwa nao kwenye mahusiano ingawa ndugu zetu/zao hawakutaka kabisa lakini tuna hesabu miaka tupo pamoja.
Muhimu angalieni kama mnapendana kwa dhati.
🙏🙏Safi
We jamaa wa ajabu sana, kwa hiyo kila mtu aoe kabila lake? Wote tukioa makabila yetu tutafika kweli?Kwenye kabila lako hakuna wanawake??
Vijana wa siku ni wa hovyo hivi wazee wetu walivo oa kabila lao mnawaona wajinga sio?
Acha utukanwe na mimi nawaunga mkono tukanwa kabsaaa pumbavu mkubwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pambana na hali yako mzee baba achana na MimiWe jamaa wa ajabu sana, kwa hiyo kila mtu aoe kabila lake? Wote tukioa makabila yetu tutafika kweli?
Watu tunataka kuchanganya genes, damu tofauti tofauti wewe umekalia 'kabila langu'
Shusha pumzi sheikh, stress tupa kule manake usipoangalia zitakumaliza.Pambana na hali yako mzee baba achana na Mimi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu tumeeenda kuoa mbeya tukaitwa chinja chinja, wanywa damu za watu.... mama mkwe analia mashangazi wanalia kwamba binti yao anaenda kunyonywa damu lakini tulikomaa na binti mpaka ndoa.Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake.
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao