mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #61
Ole wako binti yao apatwe na Baya watahisi ni weweWatu tumeeenda kuoa mbeya tukaitwa chinja chinja, wanywa damu za watu.... mama mkwe analia mashangazi wanalia kwamba binti yao anaenda kunyonywa damu lakini tulikomaa na binti mpaka ndoa.
Na sasa mama mkwe na mashangazi wanayasimulia Makuu ya Mungu juu ya ndoa yetu...