Mkuu mdukuzi huenda hukumpenda kwa dhati huyo mrembo, laiti ungekuwa umempenda usingejali maneno yao.Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa Sana na kabila Y
Sasa nilipata binti WA kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama take,nikajitambulisha kina na kabila langu,wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi Kwa lugha Yao mara ogu no mnyamahanga Mara akasigazi kagufu tikeine impia mara nikasana muhutu.
Mimi wakufananishwa na muhutu?walisema kabila letu wavivu binti yao atakufa njaa mara tutazaa watoto wafupi,washenzi Sana wale wakweMkuu mdukuzi huenda hukumpenda kwa dhati huyo mrembo, laiti ungekuwa umempenda usingejali maneno yao.
Wenzio kuna Wanawake tumekuwa nao kwenye mahusiano ingawa ndugu zetu/zao hawakutaka kabisa lakini tuna hesabu miaka tupo pamoja.
Muhimu angalieni kama mnapendana kwa dhati.
Mimi sio kijana Hilo ni tukio la miaka 25 iliyopitaKwenye kabila lako hakuna wanawake??
Vijana wa siku ni wa hovyo hivi wazee wetu walivo oa kabila lao mnawaona wajinga sio?
Acha utukanwe na mimi nawaunga mkono tukanwa kabsaaa pumbavu mkubwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani maisha yenu mliwategemea wao?
Au mngekaa hapo maisha?
Kwani wewe ni mfupi mkuu???Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake.
Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao!
Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa binti yao
AiseMimi wakufananishwa na muhutu?walisema kabila letu wavivu binti yao atakufa njaa mara tutazaa watoto wafupi,washenzi Sana wale wakwe
I know wewe ni mkongwe,........Mimi sio kijana Hilo ni tukio la miaka 25 iliyopita
Kabla ya kuoa ni lazima uangalie vitu kama hivyo ambavyo mdukuzi alikutana navyo. Hiyo ndiyo maana ya kuchunguzana, lazima ujue unapokewaje na wana tabia gani. Kuchunguzana tabia huwa jaimaanishi kujua ex wake alikua nani.Mkuu mdukuzi huenda hukumpenda kwa dhati huyo mrembo, laiti ungekuwa umempenda usingejali maneno yao.
Wenzio kuna Wanawake tumekuwa nao kwenye mahusiano ingawa ndugu zetu/zao hawakutaka kabisa lakini tuna hesabu miaka tupo pamoja.
Muhimu angalieni kama mnapendana kwa dhati.