sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Uyu demu ni material oriented
Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa
Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno
Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu namsifia na namsalimia mbele yake bila aibu
Sasa Jana iyo tabia ikamkera akaanza kupiga makelele nilichofanya nikamkumbushia Ile siku then nikasepa sikuongea nae nikarudi gheto je apo nilikosea kitu?