Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sasa mdogo wangu kama ccm inaongoza watu wanaoleta uzi kama huu, isitawale milele kwa misingi ipi aisee.Huu Uzi umedhihirisha 90% ya watanzania
Ni machawa na watu wapenda ngono
Aliechangia wa kwanza amewafanya wote watoe comments za kufanana huenda sababu kuna wengine Wana takana kimapenzi mtu ana comments ili kumfrahisha CRUSH wake
CCM ITATAWALA SANA WACHANGIAJI WA HUMU NI NYUMBU HASWA