Tuanze hapoWewe na demu wako mna umri gani
Gentleman,Uyu demu ni material oriented
Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa
Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno
Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu namsifia na namsalimia mbele yake bila aibu
Sasa Jana iyo tabia ikamkera akaanza kupiga makelele nilichofanya nikamkumbushia Ile siku then nikasepa sikuongea nae nikarudi gheto je apo nilikosea kitu?
Mko watoto badoUyu demu ni material oriented

Ndo mtafute wanaume muache huu ujinga.Sawa beki tatu wetu unae comment
NakaziaWanaume tuna shida sana, wewe sio material interested ba hicho kidudu chake?
Nenda shule zimefunguliwa
Kwa nini akili yako umeiweka kwenye ajira? Walau ungeuliza kama wote hawana shughuli za kuwaingizia kipato, gentleman bado unahaha na ajira?🤣Gentleman,
wote bado hamjafanikiwa kupata ajira right?🐒