Nilifanya hivi kwa mpenzi mwenye tamaa, je, ni sahihi?

Wewe ni mpumbavu
Baada ya kutumia nguvu na akili kuboresha maisha yako ili umpate Malaya yeyote yule unayemtaka.
Wewe upon busy kushindana na huyo Malaya,...........
Someone somewhere Kuna fierce guy anawork hard 100X you,aje amfi.re huyo Malaya wako
 
Thead ya kijinga sana.
 
Huu Uzi umedhihirisha 90% ya watanzania
Ni machawa na watu wapenda ngono
Aliechangia wa kwanza amewafanya wote watoe comments za kufanana huenda sababu kuna wengine Wana takana kimapenzi mtu ana comments ili kumfrahisha CRUSH wake

CCM ITATAWALA SANA WACHANGIAJI WA HUMU NI NYUMBU HASWA
 
Tafuta Malaya wewe Mimi sitaki Malaya

Freedom is being comfortable of being disliked
 
Hapo kwenye kutembea hapo hata mimi sipendi 😅😅😅😅 ila kusifia madem mbele yake huo ni udhaifu kiwango cha kimataifa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼😅😅😅
 
Umekosea Sana hutakiwi kushindana na mtoto wa kike
 
Sio kweli.
Tatizo inawezekana umewasilisha vibaya uzi wako umejieleza kitoto sana, yaani picha niliyopata mimi ni kama wewe na dem wako mpo form two.
 
Kwa nini akili yako umeiweka kwenye ajira? Walau ungeuliza kama wote hawana shughuli za kuwaingizia kipato, gentleman bado unahaha na ajira?🤣
nimeshangazwa na huo muda wa kufanya hayo yote wanautoa wapi hali ya kua kuna mambo mengi sana muhimu ya kufanya na kujiingizia kipato.

halafu,
usafiri wa bodaboda ni hatari labda iwe dharura tu 🐒
 
Sasa kama mada n ya kipumbavu tusiseme kisa aliyecomment wa kwanza amesema n mada ya kipumbavu?
 
Umekosea sana, kitendo alichokufanyia alikuonesha rangi yake halisi sasa ulipaswa ku remain calm afu ufanye maamuzi ya kiume ila sio kushindana nae.
Hata huyo manzi unamsifia ukiwa na demu ako si anakudharau sema tu hawezi kukwambia.
 
Pipa na mfuniko, nachelea kukwambia bwanamdogo wahi hospitali, usisite kumshawishi na demu wako. Nyote mna tatizo la akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…