Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

Huwa najiuliza sana...mnapata wapi hamu ya kumrudia ex wako! Can it be the same again! Piga chini, mpotezee sometimes kama humjui.
 
Yaani Jpm abane na mapenzi nayo unaruhusu yakubane this too much kwa kweli
 
Huwa najiuliza sana...mnapata wapi hamu ya kumrudia ex wako! Can it be the same again! Piga chini, mpotezee sometimes kama humjui.
nikimchunia huwa anahisi labda nina mtu mwingine ila kumbe sio.
 
Ndio mke mtarajiwa au huoni wala huambiwi kwa huyo binti?
 
Inategemea na uzito wa kosa. Wengine ni ngumu sana kusamehe...
Labda braza ungetueleza kosa lilikuwa ni lipi ili tujue pa kuanzia?
 
ndugu zangu hamjambo?
jamani nina mpenzi tumedumu muda sana tu na tumepitia vipindi tofauti yani ups and down.
kuna kipindi tulikosana na mimi nikajitahidi kumuelewesha lakini akawa hataki hata kunisikia ila nikamchunguza nikagundua pia hana mtu.
sasa nikaamua kuwashirikisha ndugu zake ili watuweke sawa lakini mwenzangu akawa kakasirika zaidi eti kwa nini ndugu zake nimewaambia me nimekua nikimjibu tu ni mapenzi yako kwako na siko tayari kukupoteza.ndugu zake wametusuhulisha lkn mwenzangu kila tukipishana kauli basi anaanza kunikumbushia kuhusu hiyo ishu ya kuwaambia ndugu zake anaenda mbali mpaka anasema me nimejipeleka kwao.nashindwa kumuelewa ana tatizo gani kwani ndugu wakijua kuwa tunadate ni kosa kubwa la hadi mtu kuliweka moyoni.
naomba mawazo yenu nifanyeje na huyu mtu jamani sababu imekua too much.

Yaani ni "mpenzi wako" si mkeo wala si mumeo wa ndoa? Halafu unawashirikisha na ndugu zake?

Hivi kwenu huko hamna maadili kabisa? Na ndugu zake wanakusikiliza haswa?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.

Maadili ya Mtanzania yamefikia huko? Na bado mtu anakuja kujisifu humu?

hakika Tanzania mapunguani ni wengi sana tena sana kwa mwenendo huu.
 
utafanywa ndondocha maisha yako yote na huyo mzinzi mwenzio
 
Inategemea na uzito wa kosa. Wengine ni ngumu sana kusamehe...
Labda braza ungetueleza kosa lilikuwa ni lipi ili tujue pa kuanzia?
Huyu atakuwa kagegeda nje. Ndiyo maana hataki kusema hilo kosa.
Hili apate ushauri mzuri inabid ataje kosa lake
 
Huna plann B ? Kama huna tafuta endelea na maisha acha kulia lia
 
Mm nampongeza sana huyo bint kwa kufanya maamuzi sahihi
Unajua wengi wakishapendwa wanajiona wao km malaika wakuu yaan chochote atakachokifanya kipo sahihi na hawezi kuachwa sbb anapendwa. Ndiyo maana umeshindwa kutaja kosa gani ulilolifanya.
Ni vizuri kuchukua 50 zako usepe zako ili siku nyingine utakapoingia kwenye mahusiano na mtu mwingine usirudie makosa tena.
NAMPONGEZA SANA HUYO MWANAMKE KWA KUCHUKUA MAAMUZI SAHIHI KWA AJILI YA AMANI NA FURAHA YA MOYO WAKE.
 
ndugu zangu hamjambo?
jamani nina mpenzi tumedumu muda sana tu na tumepitia vipindi tofauti yani ups and down.
kuna kipindi tulikosana na mimi nikajitahidi kumuelewesha lakini akawa hataki hata kunisikia ila nikamchunguza nikagundua pia hana mtu.
sasa nikaamua kuwashirikisha ndugu zake ili watuweke sawa lakini mwenzangu akawa kakasirika zaidi eti kwa nini ndugu zake nimewaambia me nimekua nikimjibu tu ni mapenzi yako kwako na siko tayari kukupoteza.ndugu zake wametusuhulisha lkn mwenzangu kila tukipishana kauli basi anaanza kunikumbushia kuhusu hiyo ishu ya kuwaambia ndugu zake anaenda mbali mpaka anasema me nimejipeleka kwao.nashindwa kumuelewa ana tatizo gani kwani ndugu wakijua kuwa tunadate ni kosa kubwa la hadi mtu kuliweka moyoni.
naomba mawazo yenu nifanyeje na huyu mtu jamani sababu imekua too much.
Hakuna mapenzi hapo ndugu tuliza nafasi ufanye mambo yako....The ryt one will come for you
 
inawezekana kosa ulilotenda halina msamaha,hata sisi wakatoliki huwa tunaamini kuwa kuna dhambi ambazo hazina msamaha kwa Mungu!.....Tuambie kwanza ulimkosea nini ili tupate pa kuanzia mkuu!
 
Back
Top Bottom