Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Shikamoo mkuu! 🙂Si unaachana nae tu unasepa zako, yaani usawa huu mbovu bado kuna mtu analazimisha mapenzi!?, ptuuuuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo mkuu! 🙂Si unaachana nae tu unasepa zako, yaani usawa huu mbovu bado kuna mtu analazimisha mapenzi!?, ptuuuuu!
Wewe mbona yule ambae umeachana nae unamuwaza hadi leo?....unataka mwenzako ateseke kama wewe?Achana nae asikupe headache
Siteseki mieWewe mbona yule ambae umeachana nae unamuwaza hadi leo?....unataka mwenzako ateseke kama wewe?
We ni mme au mke.. Nijibu hili kwanza ndo nikushaur..ndugu zangu hamjambo?
jamani nina mpenzi tumedumu muda sana tu na tumepitia vipindi tofauti yani ups and down.
kuna kipindi tulikosana na mimi nikajitahidi kumuelewesha lakini akawa hataki hata kunisikia ila nikamchunguza nikagundua pia hana mtu.
sasa nikaamua kuwashirikisha ndugu zake ili watuweke sawa lakini mwenzangu akawa kakasirika zaidi eti kwa nini ndugu zake nimewaambia me nimekua nikimjibu tu ni mapenzi yako kwako na siko tayari kukupoteza.ndugu zake wametusuhulisha lkn mwenzangu kila tukipishana kauli basi anaanza kunikumbushia kuhusu hiyo ishu ya kuwaambia ndugu zake anaenda mbali mpaka anasema me nimejipeleka kwao.nashindwa kumuelewa ana tatizo gani kwani ndugu wakijua kuwa tunadate ni kosa kubwa la hadi mtu kuliweka moyoni.
naomba mawazo yenu nifanyeje na huyu mtu jamani sababu imekua too much.
Mapenzi ya kitoto shida kweli kweli, yaani mtu hulali vizuri kisa mpenzi sijui nini nini. Hata siku moja aseeeShikamoo mkuu! 🙂
Ina maana yale mateso yalishaisha mkuu?Siteseki mie
jiueJamani hilo tatizo hata mie limenitokea,,, mm nimempa binti mwingine mimba ndilo kosa langu,,,, ss ni mwez wa sita mpnz hataki kunisamehe cha ajabu akiwa na shida ananitafuta,,,,, kabla ya mgogoro huo tulikuwa vzr tu,,,, ss nifanyeje
[emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi ya kitoto shida kweli kweli, yaani mtu hulali vizuri kisa mpenzi sijui nini nini. Hata siku moja aseee
Baki na uliempa mimbaJamani hilo tatizo hata mie limenitokea,,, mm nimempa binti mwingine mimba ndilo kosa langu,,,, ss ni mwez wa sita mpnz hataki kunisamehe cha ajabu akiwa na shida ananitafuta,,,,, kabla ya mgogoro huo tulikuwa vzr tu,,,, ss nifanyeje
Yapi?Ina maana yale mateso yalishaisha mkuu?
Ulimkuta bikra!mimi ni mwanaume.
Tafuta hela.. Tengeneza uchumi imara.. Piga mjengo wako wa adabu tu Chukua mwanao peleka shule nzur.. Afu mwite kwako mpige stor.. Akitaka kuondoka mpe ufunguo wa Nyumba.. Mwambie ajiskie Nyumbani.. Akichomoa na hapo nitumie namba ake.. Maana atakuwa c mkeo wa AhadiJamani hilo tatizo hata mie limenitokea,,, mm nimempa binti mwingine mimba ndilo kosa langu,,,, ss ni mwez wa sita mpnz hataki kunisamehe cha ajabu akiwa na shida ananitafuta,,,,, kabla ya mgogoro huo tulikuwa vzr tu,,,, ss nifanyeje
..Labda aliomba0713..Ulimkosea nini? Huenda kitendo ulichomfanyia kilimuuma sana na huenda akagundua ulifanya makusudi. Sasa ikiwa ni hivyo ujuwe mwenzio anahitaji muda ili ajiridhishe kuwa umemaanisha kuomba huo msamaha.