Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

Yaani ni "mpenzi wako" si mkeo wala si mumeo wa ndoa? Halafu unawashirikisha na ndugu zake?

Hivi kwenu huko hamna maadili kabisa? Na ndugu zake wanakusikiliza haswa?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.

Maadili ya Mtanzania yamefikia huko? Na bado mtu anakuja kujisifu humu?

hakika Tanzania mapunguani ni wengi sana tena sana kwa mwenendo huu.
Hivi wewe, uliolewa bikira?
 
Kiherehere meku. Kwa ndugu zake ukienda fanya nini?

Hapo utakuwa tu mtumwa wa mapenzi.

Uoga wa kwenda nje na kujichanganya ndio unafanya uone kuwa hakuna zaidi ya huyo. Niamini mimi wapo zaidi na kwa vigezo vyako watakukubali.

Acha kujipendekeza mkuu, hawa watu msimu huu hawapendi luba. Wanataka kupumua kidogo sasa wewe hata nafasi hauachi
 
Ulimfanyia kosa gani? Maana yapo mengine yanatia kichefuchefu kila mara yanapokumbukwa.
 
Ulimfanyia kosa gani? Maana yapo mengine yanatia kichefuchefu kila mara yanapokumbukwa.
Akikujibu naomba uniite mkuu. Nimeshaamuliza kosa alilokosa hakujibu.
Itakuwa alifanya kosa la kuchefua hasa mpaka mkewe nafsi imekasirika. Halafu anataka msamaha saa hiyo hiyo. Ampe mke muda ajiridhishe kuwa kosa hilo halitojirudia tena
 
me mwanaume

upload_2016-11-5_20-15-15.jpeg
 
Wewe bila shaka utakuwa Mjita au wa jamii za kabila hilo. Mkurya hawez kukaa analalamika upumbavu wa hivyo
 
Akikujibu naomba uniite mkuu. Nimeshaamuliza kosa alilokosa hakujibu.
Itakuwa alifanya kosa la kuchefua hasa mpaka mkewe nafsi imekasirika. Halafu anataka msamaha saa hiyo hiyo. Ampe mke muda ajiridhishe kuwa kosa hilo halitojirudia tena
Ngoja tusubiri mkuu, maana siekewi unamshauri vipi mtu bila kujua kosa lililofanyika.
 
Ndugu zangu hamjambo?

Jamani nina mpenzi tumedumu muda sana tu na tumepitia vipindi tofauti yani ups and down.

Kuna kipindi tulikosana na mimi nikajitahidi kumuelewesha lakini akawa hataki hata kunisikia ila nikamchunguza nikagundua pia hana mtu.
Sasa nikaamua kuwashirikisha ndugu zake ili watuweke sawa lakini mwenzangu akawa kakasirika zaidi eti kwanini ndugu zake nimewaambia.

Mimi nimekua nikimjibu tu ni mapenzi yako kwako na siko tayari kukupoteza, ndugu zake wametusuhulisha lakini mwenzangu kila tukipishana kauli basi anaanza kunikumbushia kuhusu hiyo ishu ya kuwaambia ndugu zake anaenda mbali mpaka anasema mimi nimejipeleka kwao. Nashindwa kumuelewa ana tatizo gani kwani ndugu wakijua kuwa tunadate ni kosa kubwa la hadi mtu kuliweka moyoni.

Naomba mawazo yenu nifanyeje na huyu mtu jamani sababu imekua too much.
Huna chako
 
Back
Top Bottom