Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

Huyo alikutafutia sababu keshapata,yaani hakutaki...acha kuumiza kichwa!
 
We ni mme au mke.. Nijibu hili kwanza ndo nikushaur..
 
Kwa kuwa umesema we Kidume..
Ngoja nikujibu kiume. "Brother kitendo cha kwenda kwa ndugu wa demu ilhali we ni mpnz tu ni udhaifu Bro.. As a man we face our challenge to the fullest kabla ya kuyapeleka nje.. Ulikuwa unatakiwa umfuate kusuluhisha mara nyingi uwezavyo kabla ya kutafta msaada nje.
Intelligence guess zangu ni zifuatazo
Moja, ndugu waliokusuluhisha baada ya kuondoka umejilizaliza walikubeza na mbele ya demu wako.. Hivyo ukapoteza point.. Remind u Wanawake wanapenda Wanaume wanaomaintain intergrate zao.

Pili.. Demu wako kitendo cha kujipeleka kwa ndugu bila kutambulishwa rasmi kimemboa.. Coz inaonekana bado anakuona umepungukiwa vitu... Msimamo... Pesa.. Na utashi kama mtot wa kiume. Umeonyesha akili za kitoto katka kusolve ishu.. Tena ukizingatia we ndo umekosea.
Tatu. Amka jikungute mavumbi.. Katafte hela... Tafuta hela... Endelea tu kutafta hela..
Halafu watu ka demu wako watakuwa wanakutafta
Maana Utakuwa umeprove Umekua sasa.
 
Jamani hilo tatizo hata mie limenitokea,,, mm nimempa binti mwingine mimba ndilo kosa langu,,,, ss ni mwez wa sita mpnz hataki kunisamehe cha ajabu akiwa na shida ananitafuta,,,,, kabla ya mgogoro huo tulikuwa vzr tu,,,, ss nifanyeje
 
jiue
 
Baki na uliempa mimba
 
Wanafunzi wa shule hawa....
 
Jamani hilo tatizo hata mie limenitokea,,, mm nimempa binti mwingine mimba ndilo kosa langu,,,, ss ni mwez wa sita mpnz hataki kunisamehe cha ajabu akiwa na shida ananitafuta,,,,, kabla ya mgogoro huo tulikuwa vzr tu,,,, ss nifanyeje
Tafuta hela.. Tengeneza uchumi imara.. Piga mjengo wako wa adabu tu Chukua mwanao peleka shule nzur.. Afu mwite kwako mpige stor.. Akitaka kuondoka mpe ufunguo wa Nyumba.. Mwambie ajiskie Nyumbani.. Akichomoa na hapo nitumie namba ake.. Maana atakuwa c mkeo wa Ahadi
 
Ulimkosea nini? Huenda kitendo ulichomfanyia kilimuuma sana na huenda akagundua ulifanya makusudi. Sasa ikiwa ni hivyo ujuwe mwenzio anahitaji muda ili ajiridhishe kuwa umemaanisha kuomba huo msamaha.
..Labda aliomba0713..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…