Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

Hivi wewe, uliolewa bikira?
 
Kiherehere meku. Kwa ndugu zake ukienda fanya nini?

Hapo utakuwa tu mtumwa wa mapenzi.

Uoga wa kwenda nje na kujichanganya ndio unafanya uone kuwa hakuna zaidi ya huyo. Niamini mimi wapo zaidi na kwa vigezo vyako watakukubali.

Acha kujipendekeza mkuu, hawa watu msimu huu hawapendi luba. Wanataka kupumua kidogo sasa wewe hata nafasi hauachi
 
Ulimfanyia kosa gani? Maana yapo mengine yanatia kichefuchefu kila mara yanapokumbukwa.
 
Akikujibu naomba uniite mkuu. Nimeshaamuliza kosa alilokosa hakujibu.
Itakuwa alifanya kosa la kuchefua hasa mpaka mkewe nafsi imekasirika. Halafu anataka msamaha saa hiyo hiyo. Ampe mke muda ajiridhishe kuwa kosa hilo halitojirudia tena
 
Wewe bila shaka utakuwa Mjita au wa jamii za kabila hilo. Mkurya hawez kukaa analalamika upumbavu wa hivyo
 
Akikujibu naomba uniite mkuu. Nimeshaamuliza kosa alilokosa hakujibu.
Itakuwa alifanya kosa la kuchefua hasa mpaka mkewe nafsi imekasirika. Halafu anataka msamaha saa hiyo hiyo. Ampe mke muda ajiridhishe kuwa kosa hilo halitojirudia tena
Ngoja tusubiri mkuu, maana siekewi unamshauri vipi mtu bila kujua kosa lililofanyika.
 
Huna chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…