Kama ilivyo ID yangu - yaani New Page. Baada ya JPM kuondoka niliamini tunaanza ukurasa mpya. Nilikuwa wa kwanza kwanza kuonesha kuwa hii ni Awamu ya Sita na si ya Tano, ingawa ilibishiwa sana. Nilianzisha ID hiyo kuonesha kuanza ukurasa mpya.
Hata hivyo kadri siku zinavyoenda ile appetite ya kuja kumpigia kura SSH inapungua kwa asilimia kadhaa na sasa imebaki asilimia 78% hivi. Ikifika Mei Mosi pengine itapungua Zaidi kwa hadaa inayoandaliwa kuhusu kupanda kwa mishahara ya wafanyakazi. Hilo nalo ni mojawapo.
Kubwa la kunifanya nisijempigia kura SSH ni namna ambavyo amekuwa mgumu kutambua kuwa Mbowe anaonewa na upendeleo wa wazi wazi kwa jinsia yake na pia anavyowatenga Sukuma Gang. Kwa haya ni kweli yakiendelea kushamiri na bila kuyarekebisha kura yangu na familia yangu hataipata kamwe! Zimebaki asilimia 78 tu!
Hili ninamaanisha kama ambavyo nilivyoona JPM wanamnyanyasa Tundu Lisu kwenye Kampeni mwaka juzi niliamua nisimpigie kura JPM pamoja na kuwa nilikuwa na bado nipo CCM.