Nilifikiri ni New Page imeanza lakini wapi! Hakika sitampigia kura 2025

Nilifikiri ni New Page imeanza lakini wapi! Hakika sitampigia kura 2025

Ni suala la muda tu
....Mungu ataamua tu yake ....
WaTanzania tushazoea kumwachia Mungu eti kwa sababu alitusaidia kuamua kwa JPM na hivi majuzi kwa Ndugai. Sometimes Mungu naye anachoka!
 
Kama ilivyo ID yangu - yaani New Page. Baada ya JPM kuondoka niliamini tunaanza ukurasa mpya. Nilikuwa wa kwanza kwanza kuonesha kuwa hii ni Awamu ya Sita na si ya Tano, ingawa ilibishiwa sana. Nilianzisha ID hiyo kuonesha kuanza ukurasa mpya.

Hata hivyo kadri siku zinavyoenda ile appetite ya kuja kumpigia kura SSH inapungua kwa asilimia kadhaa na sasa imebaki asilimia 78% hivi. Ikifika Mei Mosi pengine itapungua Zaidi kwa hadaa inayoandaliwa kuhusu kupanda kwa mishahara ya wafanyakazi. Hilo nalo ni mojawapo.

Kubwa la kunifanya nisijempigia kura SSH ni namna ambavyo amekuwa mgumu kutambua kuwa Mbowe anaonewa na upendeleo wa wazi wazi kwa jinsia yake na pia anavyowatenga Sukuma Gang. Kwa haya ni kweli yakiendelea kushamiri na bila kuyarekebisha kura yangu na familia yangu hataipata kamwe! Zimebaki asilimia 78 tu!

Hili ninamaanisha kama ambavyo nilivyoona JPM wanamnyanyasa Tundu Lisu kwenye Kampeni mwaka juzi niliamua nisimpigie kura JPM pamoja na kuwa nilikuwa na bado nipo CCM.
Mkuu umeanza vizr katikat ukavulugha, nikakumbuka wimbo wa mboto unaitwa tausi usikilize Kama huna sema utumiwe, ila mbowe anakesi na kesi yake Ni ya uhalifu kwa hyo Ni jukum la watetez wake kuthibitisha bila shaka yoyote kuwa mbowe Hana kesi,

Nyongeza tu mkuu watu 2 wanamakosa yanayofanan wote Ni wahanga wa kisiasa nao no Sabaya na mbowe,
 
Aseee upo sahihi sana. Hata Sabaya tulimshauri mama ahakikishe anafungwa kwa sababu makosa yake yalikuwa ya wazi mnoo. Kwa Mbowe tunamshauri mama ahakikishe hafungwi kwa sababu hakuna makosa ya wazi ya ugaidi kayatenda!
 
Ni makosa yakisiasa woooote wanahusika na kwa mbowe ndo waziii kabisa, tusubr tuone mwishoo wke
 
Back
Top Bottom