Nilifikiri ni New Page imeanza lakini wapi! Hakika sitampigia kura 2025

Hahaaa Kama uchaguzi ukifanyika leo hii.........
 
Yani ulikuwa bado unashiriki kupiga kura wakati matokeo yanajulikana kuwa mgombea wa ccm lazima ndio aibuke mshindi, hivyo hata wewe usipoenda kumpigia kura bado inajulikana Samia atatangzwa mshindi kama ambavyo wengine hawakumpigia kura Magufuli ila bado alitangazwa kuwa mshindi.

Wengine hatujawahi kujuta kuacha kwenda kupanga foleni ya kupiga kura.
 
Mbowe ni nani kwenye hii Nchi? Akizingua atashughulikiwa.
 
CCM chama cha mazingaombwe !! Ni LAZIMA kipigwe chini - na njia pekee ni madai ya katiba mpya hakuna njia nyingine.
 
Upigaji kura ni kufuata tu hatua na ku-legalize wizi / ujambazi lakini your Vote does not Count - Sadly huo ndio Ukweli
Sio KILA siku ni juma pili , Mambo hubadilika ,uko wapi Rais wa zamani wa ZAMBIA? nani alimzidi ubabe
 

Mkuu heri ungeandika page ya majungu na ubinafsi. Lissu alionewa Vipi na alikuja kwa uhuru na kuondoka kwa uhuru. Hapa JF Tupo watu wa ajabu na kama wewe hata kura hukupiga Lakini una majibu yako ya uchaguzi. Unataka kutupangia. Ni Aibu kwako na Familia yako.
 
kosa moja tu kumtaja mbowe wacha mahakama ifanye kazi yake
 
kosa moja tu kumtaja mbowe wacha mahakama ifanye kazi yake
Hakuna kosa kumtaja Mbowe hapa na hakuna raia wa kawaida anayeweza kuizuia mahakama kufanya kazi yake.
 
bora nimpigie shetani lakini siyo huyu bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…