Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani nauliza tu.i will do that
nashkuru kwa ushauri ndugu yanguPole Sana ndugu yang, lakin ulifanya makosa makubwa Sana kuweza kufunga ndoa na mtu ambae si mwaminifu, na ww utakuwa mume wa 3 kwake, then mwazo kabla hujaoa unajua alivokuwa anakuja kwako anakaa wiki anaondoka unajua alikuwa anaenda wap na anafanya nn, then ukaamua kumuweka ndani kabisa ukimaanisha umekubaliana na Mambo yote kutoka kwake, kwahiyo ndugu yangu nikushauri tu ukae nae vizur chin kama itawezekana athibitishe yeye mwenyew mtoto n wa nan na muwe Kama ndo mnaanza maisha mapya huku mkipata na ushaur na msaada wa kidini.
its hard to compare hisia za mapenzi na wizi ndugu yangu japo nakuelewa sanaSamahani nauliza tu.
Umekuta sms anamwita mwanaume mwengine mume wangu na wewe bado uliamua kuoa?. Tena anaomba hela ya pampers wakati wewe ndie baba kwa maelezo yake?.
Ameomba umsitiri kwa umalaya wake au kwa kipi?. Hivi mwizi alie kuja ingia nyumbani kwako na kubeba mali yako mkononi. Anakuomba umsitiri kwa wizi wake ili asipate aibu,asipigwe lakini usinge mkamata alikuwa anakutia wewe hasara. Hivi kweli huyu wa kupewa stara?.
🤣🤣🤣🤣 ila baba bulubendi!Sasa si umepata ulichokua unatafta mkuu
Muue basi
Wee jamaaSasa si umepata ulichokua unatafta mkuu
Muue basi
Wacha bwana!!Sijui mambo yamegeuka! Wanaume tunaendeshwa sana na wanawake lately.
I hate to read such stories, kwa nini ukubali mwanamke ashike mpini?
Umefufuka!!Wacha bwana!!
Huyu jamaa ana walakini kwenye kufanya maamuzi, huu ni upofu wala sio upendo. Inashangaza sana na kusikitisha, hiki kizazi cha sasa kimekuwaje???Samahani nauliza tu.
Umekuta sms anamwita mwanaume mwengine mume wangu na wewe bado uliamua kuoa?. Tena anaomba hela ya pampers wakati wewe ndie baba kwa maelezo yake?.
Ameomba umsitiri kwa umalaya wake au kwa kipi?. Hivi mwizi alie kuja ingia nyumbani kwako na kubeba mali yako mkononi. Anakuomba umsitiri kwa wizi wake ili asipate aibu,asipigwe lakini usinge mkamata alikuwa anakutia wewe hasara. Hivi kweli huyu wa kupewa stara?.
Acha uchochezi.Huyu jamaa ana walakini kwenye kufanya maamuzi, huu ni upofu wala sio upendo. Inashangaza sana na kusikitisha, hiki kizazi cha sasa kimekuwaje???
Mbona mnampanikisha?😂Kikubwa nitunzie mwanangu maana Mimi sikuachana nae kisa hashki mimba, nliachana nae Kwa sababu alikua anawasiliana na wa kwanza kumuoa
Pole sana hii dunia ina mengi ya kujifunza naomba Mungu atupe maisha marefu tujifunze mengi zaidinahisi ntachanganyikiwa kabisa maana kila nikiwaza nikiwazua sipati jibu sijui nifanyeje
Maisha ya mapenzi ujinga sana. Wakati kuna mtu anaitafuta hiyo sababu ya kukuta msg za hivyo alianzishe --Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
Ukweli unaponya, wanaume tumekuwa legelege mno miaka hii, huyo alitakiwa kuahirisha ndoa siku ile, he must've called it off.Acha uchochezi.