Godson97
Member
- Jun 20, 2021
- 85
- 95
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Ulishindwa kumudharirisha wewe ila yeye atakudharirisha sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Mwanamke kaachika mara tatu ulipaswa kuchunguza kidogo shida nini wanaume wanamkimbia usiwe unaamini sababu unazopewa na mwanamke lazima utafute na taarifa za upande wa pili.navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani
Nakazia. Akipata majibu ya DNA aingie kuwa mtu wa tatu kwenye historia kuwa aliolewa na mtu wa 3 na kupat mimba na kuachika. Ila mtu wa nne ajiopolee makomboJambo ni moja tu kapimeni DNA
Sio rahisi kuelewa mkuu, tayari mwanamke kashamuweka kwenye njia zake. Anajua afanye nini ili jamaa asichomoke..Asipokuwelewa hapa ndo basi tena, salama yake ni kukaa mbali na huyo mwanamke haijalishi mtoto ni wake au lah.
Huu ndio ujinga mwingi kuwahi kutokea uliojikusanya kwenye reply moja.Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Huna wasimamizi wa ndoa mkuu?Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
[emoji23][emoji23]Sisi tukupe ushauri gani sasa wewe mzee
Haya nunua simba pale tarangire mfuge ndani
kazi tukamtoe Huna wasimamizi wa ndoa mkuu?
Ulipaswa kuchukua uamuzi kabla haujaingia kwenye balaa la ndoa.
Lakini kwa sasa tuliza akili, saka hela, maamuzi yatakuja baadaye
Mtafute mume wake wa kwanza na wa pili ongea nao kishkaji ujuwe sababu ya kuachwa na hao. Inawezekana sio kama alikuwa hashiki mimba Bali waliona hawana mke wameoa Malay…a ndio waliamua kumuacha.navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
i will do thatMtafute mume wake wa kwanza na wa pili ongea nao kishkaji ujuwe sababu ya kuachwa na hao. Inawezekana sio kama alikuwa hashiki mimba Bali waliona hawana mke wameoa Malay…a ndio waliamua kumuacha.
Mwanamke hamwiti mwanaume mume wangu kwa kumtapeli hapana anakuwa ana maanisha na alicho mwita.
Kwa apa ndugu umeongeza tatizo, watu hushauri kutokana na experience zao au utani utani tu ila wewe unazidi kuumia ...kaa na mkeo chini mlijadili uone kama ana mwelekeo wa kubadilika, mpe msimamo Yako ukiwa very serious, na unamwambia hii ni last chance akirudia ajue ndo mwisho wa mahusiano yenu.navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
Kwema Wadau?