Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Wew amekuona huwez kujisimamia ndo maana akarudi baada ya kutimuliwa na wanaume wa shoka!!anaishi na wewe vile ameona anakumudu na wewe ni mwanaume mlendamlenda,bure kabsa!
 
Ninachowezo kukushauro no kwambo usilazo simo chajo kwo afyo yo betro lako
 
Ndoa ni ya mume au mke wa kwanza (kikristo), isipokuwa tu kama mwenza alifariki au uasherati ulihusiswa.

Hivyo inawezekana kabisa kuwa haujachelewa...
 
i will do that
Samahani nauliza tu.

Umekuta sms anamwita mwanaume mwengine mume wangu na wewe bado uliamua kuoa?. Tena anaomba hela ya pampers wakati wewe ndie baba kwa maelezo yake?.

Ameomba umsitiri kwa umalaya wake au kwa kipi?. Hivi mwizi alie kuja ingia nyumbani kwako na kubeba mali yako mkononi. Anakuomba umsitiri kwa wizi wake ili asipate aibu,asipigwe lakini usinge mkamata alikuwa anakutia wewe hasara. Hivi kweli huyu wa kupewa stara?.
 
nashkuru kwa ushauri ndugu yangu
 
its hard to compare hisia za mapenzi na wizi ndugu yangu japo nakuelewa sana
 
Sijui mambo yamegeuka! Wanaume tunaendeshwa sana na wanawake lately.

I hate to read such stories, kwa nini ukubali mwanamke ashike mpini?
 
Sijui mambo yamegeuka! Wanaume tunaendeshwa sana na wanawake lately.

I hate to read such stories, kwa nini ukubali mwanamke ashike mpini?
Wacha bwana!!
 
Huyu jamaa ana walakini kwenye kufanya maamuzi, huu ni upofu wala sio upendo. Inashangaza sana na kusikitisha, hiki kizazi cha sasa kimekuwaje???
 
Huyu jamaa ana walakini kwenye kufanya maamuzi, huu ni upofu wala sio upendo. Inashangaza sana na kusikitisha, hiki kizazi cha sasa kimekuwaje???
Acha uchochezi.
 
Maisha ya mapenzi ujinga sana. Wakati kuna mtu anaitafuta hiyo sababu ya kukuta msg za hivyo alianzishe --
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…