Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Acha ujinga,kama Mwanamke ana power DNA zilivumbuliwa za nini?
Kama mwanamke amelala na wanaume 2 kwenye siku zake za hatari atajuaje mimba ni ya A na sio B.

Mjinga ni wewe kwa sababu unadhani kwamba mimba inaweza kuingia mara mbili.

Iwapo alisex na A, then B na ni siku za hatari, mimba ni ya A na hivyo basi yeye mwanamke ndiye anajua mimba ni ya A kwa sababu ndiye anajua kwamba A kamwaga ndani ila yeye B hajui hilo bali amepanda mbegu isiyo na manufaa.

Na kwa taarifa yako, ukienda kupima DNA hata kama mtoto si wako, Mkurugenzi ana mamlaka ya mwisho kusema mtoto ni wako ama si wako, inategemeana na hali halisi.. Uliza waliyoenda kupima.

Uwezekano wa kumbiwa mtoto ni wa kwako ni mkubwa.

Kwa hiyo bado ukweli unabaki palepale mwenye power ya kujua baba wa mtoto ni mwanamke tu.
 
PAMBANA NA HALI YA
🀨
 
Ushauri mwingi umetolewa, wengine wakidhihaki ila isikukatishe tamaa kulisema jambo ni moja ya kutua mzigo ambao ungekutesa moyoni.

Hapo mwenye maamuzi makubwa ni wewe mwenyewe, lakini kwa upande wangu niombe mwache mtoto akue angalau miaka 2 then mwambie mkapime DNA ili kama akikataa basi achana nae mazima ila kwa sasa jifanye mjinga kwake mlee mtoto ili asiathirike na ugomvi wenu.
 
Sijauona huo "mtihani mzito". Nnachokiona ni ujinga tu. jutokufata
 
I
Sasa unataka ushauri gani zaidi ya huo halisi unaouona? Au hutaki kukubali uhalis

AHSANTE NITAZINGATIA
 
Pole kwa yote mkuu, wanawake sie kwa kweli wakati mwingine ni mtihani, pimeni DNA na mwanao ujue moja sasa kuishi kwa mashaka hivyo hata mtoto hutampenda kwa makosa aliyofanya mamaye. Pole comrade.
 
Nilicho jifunza nikua
""wanawake nikama vocha huwezi tambua kilichopo ndani yake mpaka ukwangue""

Pole Sanaa 😊
 
Hivi kweli kuna mtu anayeweza kumuacha mwanamke anayempenda miezi 5 tu baada ya ndoa kisa hashiki mimba? Miezi 5? Kuna kingine.
Kapime DNA
 
Asilimia kubwa wako ivyo kama sio woote.ww pambana nae tu!! Maisha lazima yaendelee.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…