Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa sijawah simia ndoa inavu jika ndani ya miezi 5 kisa kutoshika mimba. Huyo ana kitu ambacho hakumwambia na ndicho kimevunja ndoa zake za awali na huenda ni umalaya
mshenga sikumwambia kaka yaani sijamwambia yeyote zaidi yake yeye na kupost hapa JFKwani yeye mbona kakudhalilisha mbele ya mshenga?
Endelea kumvumiliaSio tu nilimuonea huruma lakini nilitaka nijipe muda wa kutafakari na kupata ushauri kama hivi maana hata week haijaisha nimefunga ndoa just last friday.Najaribu kutafuta suluhu ya hili au utatuzi maana sikuamini nilichokiona
We si unahuruma endelea kumhurumia hivyohivyo
ahsante kwa ukweli mchungu brotherWewe ni kati ya wanaume wajinga na wapumbavu kabisa kuwahi kutokea duniani
Yaani unaona kabisa mwanamke ni malaya halafu unamuoa hivyohivyo. Miaka hii kuna wanaume wa hovyo sana kmmmk
Malaya huwa haachi asili yake. Mwanamke malaya huwa hasamehewi na usimpe malaya nafasi ya kumsikiliza. Mwanamke malaya ni mnafiki sana kujiliza na kuomba msamaha.
Ukisamehe anakuona mjinga anaendelea kutombesha
Wenzako hata kama walilipa mahari wakagundua mwanamke ni malaya huwa wanapiga chini hapohapo hata ikiwa vikao vya harusi vilianza wanapiga chini
Si umeona kuna mwamba hapo ndani ya miezi 5 tu ya ndoa kapiga chini huyo malaya. Ulivyo mjinga wewe unamfanya mke
You will learn the hard way
nashkuru sana kwa ushauri ndugu yanguDaah pole sana brother.
Dunia uwanja wa vita, Dunia sio mahala salama sana na sio salama kabisa kwa good guys kama wewe.
Kama mwanaume kataa katu kua good guy, utajuta karibu maisha yako yote, utakumbana na disapointments za kutosha, utaumizwa na kufanywa daraja kwa kila wa karibu yako hasa wanawake.
Huyo mkeo kashakuzidi akili na maarifa, alikutega kidogo na wewe ukajaa, daah pole sana aisee.
Sasa wewe unaogelea kwenye maamuzi kwa kufata hisia, wakati huo yeye anatumia akili ili mwanae na yeye waishi vizuri kupitia koro mmoja ambae ni wewe.
Cha kukushauri ni kua, kwenye kila maamuzi yako utayofanya anza kujiangalia wewe kwanza, sio mkeo wala huyo chalii, anza na wewe kwanza then hao wengine wafate.
Huu ushauri wa kujimaliza huu, uanaume sio kuficha ujinga ila ni kujua unadeal nao vipi usikuathiri.Endelea tu na maisha bro !
Bora ya wewe umeona, sisi wengine hatuoni yanayoendelea ila tunajipa moyo ingawa nyuma ya pazia kuna mengi mno.
Hata kama usingeona siku ya harusi ipo siku ungeona na pengine ingekuwa mbaya zaidi kuliko siku hio.
Vinginevyo wewe ni mwanaume wa shoka, uanaume haupimwi kwa maumbile kana ndevu sauti nzito nk bali uwezo wa kubeba swala nzito huku ukiendelea na mambo mengine bila wengine kuhisi au kujua, ni wachache mno wa aina yako, hata wazee wetu walikuwa wanafuka 100% lakini walikaza na kuhitimisha kitanda hakizai haramu.
Ila ijuikane mwanamke ni mtu mwenye tamaa ya asili hivyo kama unajihusisha na mwanamke juwa namna ya kukabilia na aina hio ya udhaifu wake.
Kwanini ndugu yangu?ila chibu unatamani kufa mapema
FACTHuu ushauri wa kujimaliza huu, uanaume sio kuficha ujinga ila ni kujua unadeal nao vipi usikuathiri.
Unaficha kuchapiwa mwisho wa siku unakuja kuambiwa watoto wote sio wako, huyo ni mke wa mtu na matatizo kama hayo.
Nini maana ya kuoa kama huna amani na unaeishi nae??
Kwamba maisha yako utaendelea kuuguza donda la moyoni, fanya jambo kabla kiza hakijaingiaNIMEINGIA CHAKA TU NDUGU YANGU
Na atakufa siku sio nyingi kwa uzembe wa kuwa na uchu na maQu.ila chibu unatamani kufa mapema