Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Mwanamke siku zote ndiye mwenye power ya kusema baba wa mtoto ni nani.
Siku hizi wengine wana kadi 2 hadi tatu za clinic zenye baba tofauti lengo likiwa ni kujipatia fedha za kujikimu.
Kutokana na aliyoyapitia, jaribu kumsikiliza vizuri na kwa utulivu ili ujue uhalisia alitaka kufanya nini.
Hata kama ulikuwa hujamfuma na hizo sms, bado ukweli unabaki kwamba mwanamke ndiye anayejua baba halisi ni nani.
Siku zote mwanaume ni mlezi kwa hali yeyote ile.
Usikatishwe tamaa na watoto wa 2000 humu.
Msikilize vizuri ukimwelewa baki naye ila usipomwelewa achana naye!