Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

una uhakika na hiyo sababu ya yeye kuachika mara mbili?
 
navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
Mwanamke kaachika mara tatu ulipaswa kuchunguza kidogo shida nini wanaume wanamkimbia usiwe unaamini sababu unazopewa na mwanamke lazima utafute na taarifa za upande wa pili.
 
nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani

Sms hazina tarehe na muda!!!

Pole ni kama alikufunika mengi usijielewe.. kuachika mara mbili hata haukuchunguza.. pole sana. Mtoto DNA inahusu.. na magonjwa yote kapime damu
 
Kabla hujafanya haya maamuzi atakuwa keshakuwekea dawa mzee utajionea kawaida tu hata umkute na huyo mume wake
 
Asipokuwelewa hapa ndo basi tena, salama yake ni kukaa mbali na huyo mwanamke haijalishi mtoto ni wake au lah.
Sio rahisi kuelewa mkuu, tayari mwanamke kashamuweka kwenye njia zake. Anajua afanye nini ili jamaa asichomoke..

Kipindi nakua hata mimi nilishawahi kunaswa kihisia, yule manzi alinizidi maarifa ya mahusiano nilikua mtoto kwake kwenye hiyo sekta.
Sasa hivi ndio nimejua wapi nilikua nakosea na yeye alinitreat vipi na wapi na wapi alinidanganya kwasababu ya kutumia hisia na sio akili.
 
Huna wasimamizi wa ndoa mkuu?

Ulipaswa kuchukua uamuzi kabla haujaingia kwenye balaa la ndoa.

Lakini kwa sasa tuliza akili, saka hela, maamuzi yatakuja baadaye
 
Dah pole sana Ndugu, Muhimu ni kupiga moyo konde Maisha mengine yaendelee cha muhimu Kama itakua Na uwezeka kuachana na uyo mwanamke n bora ukafanya hivyo lakini muhimu mtoto ahudumiwee.......
 
navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
Mtafute mume wake wa kwanza na wa pili ongea nao kishkaji ujuwe sababu ya kuachwa na hao. Inawezekana sio kama alikuwa hashiki mimba Bali waliona hawana mke wameoa Malay…a ndio waliamua kumuacha.

Mwanamke hamwiti mwanaume mume wangu kwa kumtapeli hapana anakuwa ana maanisha na alicho mwita.
 
i will do that
 
navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
Kwa apa ndugu umeongeza tatizo, watu hushauri kutokana na experience zao au utani utani tu ila wewe unazidi kuumia ...kaa na mkeo chini mlijadili uone kama ana mwelekeo wa kubadilika, mpe msimamo Yako ukiwa very serious, na unamwambia hii ni last chance akirudia ajue ndo mwisho wa mahusiano yenu.
 
Pole Sana ndugu yang, lakin ulifanya makosa makubwa Sana kuweza kufunga ndoa na mtu ambae si mwaminifu, na ww utakuwa mume wa 3 kwake, then mwazo kabla hujaoa unajua alivokuwa anakuja kwako anakaa wiki anaondoka unajua alikuwa anaenda wap na anafanya nn, then ukaamua kumuweka ndani kabisa ukimaanisha umekubaliana na Mambo yote kutoka kwake, kwahiyo ndugu yangu nikushauri tu ukae nae vizur chin kama itawezekana athibitishe yeye mwenyew mtoto n wa nan na muwe Kama ndo mnaanza maisha mapya huku mkipata na ushaur na msaada wa kidini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…