Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji

Je akionesha meseji mmechati mwisho jana ? [emoji23][emoji23][emoji23], ama kwelu hizi mbinu ni za kivita
 
Nimecheka kwa saut mpaka basii yaani inaonekana ambavo na ww hujatulia sa kwann uiondoe wakat huna mambo mengi
 
Hivi simu kumbe ina recycle bin ndio mmenifumbua macho. Naipataje?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inabidi rikiboy mzee wa kimasihara aje na shule ya namna ya kutokamatwa ukiwa umeoa.

Mkuu kila kitu kabla ya kukifanya jaribu kupata darasa kidogo. Kwa ajili ya amani ya ndoa yako, watoto na kazini kwako kwa ujumla.

Tumia kitochi.
 
Atasema anaonewa. Huwa hawaelewi kuwa tunaishi nao kwa akili
 
Kitochi una ji risk zaidi na rahisi kudakwa ukimpa tu police sprint taarifa zote kiganjani, dawa ni kuacha uzinzi
Anatimiza andiko. Hujui ndo samson wetu kakutana na delilah wake
 
Acha hyo tabia mara moja kama ni mzee wa service road. Mfungulie email yake
Email haihitaji Nida card wala barua ya serikali ya mtaa
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji

Hakuna cha app wala nini. Hizi simu za android ukidelete chochote (picha, video au sms) vinaenda kwenye recycle bin. Ni kama pc tuu. Mtu mjanja akizama kwenye recycle bin anakuta sms zote na picha ulizofuta. Mimi nikidelete kwenye inbox nazifuata kule kwenye bin nafanya ku empty recycle bin.
Hayo mambo ya app japo ni kweli ni level nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…