Teddy1
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 213
- 201
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa.
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa.
Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA.Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?
Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu.Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA.
Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu.
Shauri yao Chadema, sisi Watanzania wote 2025 tupo na Rais Samia tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.