Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.