Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

Unataka nikusaidie kudefine demokrasia kwani wakati wenzako wanasoma civics wewe ulikuwa busy kula makamasi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeishia la 7 C

Utuambie Wewe mwenzetu kwanini useme demokrasia haipo wakati sisi tunaiona na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
 
Sasa uishie la saba wewe kisha uje kunipa mzigo mimi?Ningejua kuwa wewe ni ngumbaru ningejitenga na wewe kuanzia mwanzo mwa topic hii kwa sababu siyo busara kujadili mambo makubwa kiasi hiki na ngumbaru.
 
Mbona Tundu Lissu alisoma mpaka la 6 na ndio boss wa CHADEMA?
 
Sasa uishie la saba wewe kisha uje kunipa mzigo mimi?Ningejua kuwa wewe ni ngumbaru ningejitenga na wewe kuanzia mwanzo mwa topic hii kwa sababu siyo busara kujadili mambo makubwa kiasi hiki na ngumbaru.
Mbona kama vile wewe ndio ngumbaru? Badala ya kujibu point unaweweseka.
 
Sasa uishie la saba wewe kisha uje kunipa mzigo mimi?Ningejua kuwa wewe ni ngumbaru ningejitenga na wewe kuanzia mwanzo mwa topic hii kwa sababu siyo busara kujadili mambo makubwa kiasi hiki na ngumbaru.
Pole sana
Naona umeishiwa point,sasa umehamia kwenye matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo demokrasia yawezekana huioni Wewe tu!
Au ulizuiwa kupiga kura??
Wenzio walipiga na kiongozi aliyepata kura nyingi ndiye aliyetangazwa mshindi.

Usimchafue huyu mama kwa sababu zako zisizo na mashiko.
 
Sasa uishie la saba wewe kisha uje kunipa mzigo mimi?Ningejua kuwa wewe ni ngumbaru ningejitenga na wewe kuanzia mwanzo mwa topic hii kwa sababu siyo busara kujadili mambo makubwa kiasi hiki na ngumbaru.
Ngumbaru ndio wewe hapo mbwiga
 
Chuo cha uhasibu Arusha chini ya Prof. Amani Sedoyeka kimefanya maboresho makubwa sana

Teacher Sedo
Sedoyeka mwalimu wangu wa artificiall intelligence (AI) pale IFM mwaka 2012.those days alikua ana hold title ya Doctor bado.....
 
Alinifundisha Fundamentals of Computer akiwa assistant lecturer, alikua dogo bado hata hajamalizia PhD yake

Sedo yuko vizuri mnoo
 
Ahahahaha...this is wow mkuu.salute kwako..Aisee.Sasa kwanin ukaamua kujiunga ccm lakin 😁😁
 
Mimi naamini kwanza kwenye uongozi makini kabla ya kuamini kwenye Chama. Lowasa aliyeshurtishwa kujiuzulu CCM, na baadae kukatwa..... aliuuwa upinzani wa Tanzania na kuimarisha chama tawala kwa kuonyesha hawako kwa maslahi ya nchi
 
Cheers...
 
TATIZO UMRI, Kwa mfumo wa elimu zetu za TZ mhitimu wa chuo kikuu ukawii kumkuta anamiaka Zaidi ya 25.. sasa soka atacheza kwa miaka mingapi????
 
Mimi naamini kwanza kwenye uongozi makini kabla ya kuamini kwenye Chama. Lowasa aliyeshurtishwa kujiuzulu CCM, na baadae kukatwa..... aliuuwa upinzani wa Tanzania na kuimarisha chama tawala kwa kuonyesha hawako kwa maslahi ya nchi
Kabisa yaani
Wapo kwa ajili ya matumbo yao.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom