mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Mzee baba tangia uniambie kuwa ulikuwa unaendaga ubalozi wa Marekani kuangalia drive in cinema mpaka leo nakupa respect sana.
Drive-In Cinema nilikuwa ninaendaga enzi hizo ninakaa Masaki kwa shangazi yangu.Mzee baba tangia uniambie kuwa ulikuwa unaendaga ubalozi wa Marekani kuangalia drive in cinema mpaka leo nakupa respect sana.
Jibu swali. Uprofesa Ni kufanya Utafiti na kuchapisha katika majarida ya kitaaluma ya kimataifa ambayo yapo mtandaoni eg. Google Scholar, Web of Science etc.Usiseme ameupata wapi kama uhakika huna. Endelea kutafuta na kuuliza utajua
Ninadhani jibu sahihi analo huyo professor mwenyewe kama sijakoseaJibu swali. Uprofesa Ni kufanya Utafiti na kuchapisha katika majarida ya kitaaluma ya kimataifa ambayo yapo mtandaoni eg. Google Scholar, Web of Science etc.
Professor anaonekana bado kijana sanaNinadhani jibu sahihi analo huyo professor mwenyewe kama sijakosea
Hakika kwa maana vijana ndio taifa la leoProfessor anaonekana bado kijana sana
Masaki mtaa gani?Drive-In Cinema nilikuwa ninaendaga enzi hizo ninakaa Masaki kwa shangazi yangu.
Waswahili husema mjini mipango
Unaonekana mtoto wa kishua sana yani shangazi yako anakaa Masaki?Drive-In Cinema nilikuwa ninaendaga enzi hizo ninakaa Masaki kwa shangazi yangu.
Alisemaje kuhusu Tanzania yetu?
🤣🤣🤣Asipoihusisha [emoji196] hizi tuhuma ni hujumaa
Mume wangu mambo?
Chura ipo?😜🙃😉Mume wangu mambo?
Swali la kitoto sana hiliJibu swali. Uprofesa Ni kufanya Utafiti na kuchapisha katika majarida ya kitaaluma ya kimataifa ambayo yapo mtandaoni eg. Google Scholar, Web of Science etc.
Nikupe number za huyo professor?Uprofesa aliupatia wapi? Maana nimemchek Google Scholar publications zake sizioni
Nahitaji publications tu namba Baki nazoNikupe number za huyo professor?
Poa mkuuNahitaji publications tu namba Baki nazo
Utoto wa hilo swali upo wapi sasa?Swali la kitoto sana hili
Mbona pa kawaida sana hukoUnaonekana mtoto wa kishua sana yani shangazi yako anakaa Masaki?