Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
UEFA ulikuwa unaangalizia wapi?Kulikuwaga na mwalimu wa DS alikuwa anaitwa Charles. Alikuwa mcheshi sana ila kwa bahati mbaya alikufa.
Mazanda nilikuwa simkubali saaana kwa maana nilipokuwa pale sikuwa ninajihusisha kabisa na siasa. Nilikuwa ninapenda zaidi UEFA.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app