Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ukiwachafua wanaoiongoza Tz umeichafua Tz.Sijawahi kuichafua Tanzania.Mimi huwa nawachafua watu pamoja na vyama vya siasa vinavyotaka kuiharibu Tanzania.
Ukiwachafua wanaoiongoza Tz umeichafua Tz.Sijawahi kuichafua Tanzania.Mimi huwa nawachafua watu pamoja na vyama vya siasa vinavyotaka kuiharibu Tanzania.
[emoji23]Hebu nipe mfano wa Mtanzania ambae huwa anaichafua nchi yetu.
Habari zenu jamiiforums
Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?
==========
View attachment 1754515
Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?
==========
View attachment 1754516
==========
View attachment 1754521
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Magufuli aliichafua nchi yake Tanzania.Nitajie mfano wa kiongozi anayeichafua nchi.
Hapana mkuuIsije kua wewe ndio Leodgar Tenga bana
Nimesema anayechafua nchi.Magufuli aliichafua nchi yake Tanzania.
Kwani Magufuli hakuwa kiongozi?Kama aliichafua Tanzania hapaswi kusemwa?Unamlinda kwa sababu gani?Nimesema anayechafua nchi.
Hebu zingatia alama za nyakati katika sentensi.
Naona unajibu swali ambalo sijauliza.Kwani Magufuli hakuwa kiongozi?Kama aliichafua Tanzania hapaswi kusemwa?Unamlinda kwa sababu gani?
Kiongozi aliechafua nchi ambae nina ushahidi wake ni Magufuli.Mwingine ni Samia Suluhu.Naona unajibu swali ambalo sijauliza.
Nimekwambia taja mfano wa kiongozi anayeichafua nchi.
Mimi nimesema utaje mmoja anayechafua nchi.Kiongozi aliechafua nchi ambae nina ushahidi wake ni Magufuli.Mwingine ni Samia Suluhu.
We jamaa mtukutu sanaHebu nipe mfano wa Mtanzania ambae huwa anaichafua nchi yetu.
Samia Suluhu Hassan.Mimi nimesema utaje mmoja anayechafua nchi.
Sedoyeka kanifundisha Artificial Intelligence, akiwa chuo kimoja hapo Dar kabla aende Arusha.Chuo cha uhasibu Arusha chini ya Prof. Amani Sedoyeka kimefanya maboresho makubwa sana
Teacher Sedo
Eleza namna anavyoichafua nchi.Samia Suluhu Hassan.
Sedoyeka kanifundisha Artificial Intelligence, akiwa chuo kimoja hapo Dar kabla aende Arusha.
Yuko poa jamaa, and very humble.
Tanzania ni Taifa ambalo linaendeshwa kupitia demokrasia na viongozi wake hupatikana katika michakato ya kidemokrasia na demokrasia ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania lakini katika uchaguzi mkuu uliopita Samia suluhu akiwa kama makamu wa Rais alisikika akisema kuwa hata kama wananchi watachagua vyema vya upinzani CCM itaunda serikali kwa nguvu.Eleza namna anavyoichafua nchi.
Alisikika akiongea wapi?Tanzania ni Taifa ambalo linaendeshwa kupitia demokrasia na viongozi wake hupatikana katika michakato ya kidemokrasia na demokrasia ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania lakini katika uchaguzi mkuu uliopita Samia suluhu akiwa kama makamu wa Rais alisikika akisema kuwa hata kama wananchi watachagua vyema vya upinzani CCM itaunda serikali kwa nguvu.
Samia anaichafua Tanzania inayoamini kuwa demokrasia ni haki ya msingi wa raia wake.Sasa hivi Tanzania inaonekana duniani kama Taifa linaloongozwa kidikteta.Huu ni uchafuzi unaopaswa kulaaniwa kwa kila mwenye pumzi!
2012/2013Mwaka gani😃😃😃😃
Chuo nakijua😆😆😆
Unataka nikusaidie kudefine demokrasia kwani wakati wenzako wanasoma civics wewe ulikuwa busy kula makamasi?Alisikika akiongea wapi?
Demokrasia ni nini?
mhhhUnataka nikusaidie kudefine demokrasia kwani wakati wenzako wanasoma civics wewe ulikuwa busy kula makamasi?